Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

Hasadi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
258
Reaction score
52
Jamani wana jf jana nimekutana na mwamamke wakati tunafanya mapenzi huyo mdada alikua anacheka sana hapo alikua anamaanisha nini? Maana mi nilishazeoaga wadada wengi hupiga kelele sasa huyu wakucheka kaniacha hoi sana msaada plz kwa anaefaham mambo haya!
 
Atakuwa jini mahaba hata mm nimewahi kumla uroda wa hivyo.
 
We endelea tu mpaka utakapokutana na wanaopiga mayowe mwanzo mwisho!!
 
Mtu akicheka si kafurahi? Sasa wasi wasi wako nin?!
 
Jamani wana jf jana nimekutana na mwamamke wakati tunafanya mapenzi huyo mdada alikua anacheka sana hapo alikua anamaanisha nini? Maana mi nilishazeoaga wadada wengi hupiga kelele sasa huyu wakucheka kaniacha hoi sana msaada plz kwa anaefaham mambo haya!

HK?????
 
Anacheka ulivyokuwa ukihangaika na kutokwa mijasho bila mafanikio.
 
Jamani wana jf jana nimekutana na mwamamke wakati tunafanya mapenzi huyo mdada alikua anacheka sana hapo alikua anamaanisha nini? Maana mi nilishazeoaga wadada wengi hupiga kelele sasa huyu wakucheka kaniacha hoi sana msaada plz kwa anaefaham mambo haya!

au una kibamia mkuu?
 
Back
Top Bottom