Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

Kila mtu anaskiliziaga utamu kivyake.

Si bora huyo wa kucheka??
 
Aisee watu mna maswali magumu.vitu vingine subjective labda tukuulize wewe muhusika ilikuwaje mpaka akacheka.kudo tu? Nna wasiwasi
 
mh! Nawewe mtata,hebu nyosha maelezo,ulikutana na mwanamke? Ama ulibeba wa kujiuza? Na kama sio dada poa,iweje mkutane ana na kugegedana on the very same day? Sishangai sana, ila itakua wote muna matatizo.
 
Kwanini usimuulize muhusika?sasa sisi tutajuaje jamani!
 
Yani jamani
Ushindwe kumuuliza yeye uje utuulize sie, kweli tutakupa majibu!?!
 
Zote ni style za kuita utamu!
Hivi huwa inatakiwaje,maana akicheka maswali, akibweka hali kadhalika,mwingine ( mkaka) anaunguruma kama mnyama kasheshe, heri wanaokumbuka kinachoendelea!
 
ujue kila msichana ana miemko yake kwailo lisikupe tabu sana mbona kawaida 2 wengine huwa wanakuangalia 2 siunajua huwa n raha kwaiyo akiwa anacheka bas ujue anasikia raha ndo maana anacheka
 
Duh.....Babu jamani.....

Kweli nakuambia. Kuna kamoja kakiwa kanafika mlima kibo lazima kalie kama mtetea anayetamia. Vitanda vina siri nyingi. Ukitaka kaache inabidi uwike kama jogoo.
 
Anakucheka!!! Yaani hufanyi lolote kabisaaaa. Ama ana kombora ( double shimo). Fanya makusudi umchubue utapata attention.
 
Kweli nakuambia. Kuna kamoja kakiwa kanafika mlima kibo lazima kalie kama mtetea anayetamia. Vitanda vina siri nyingi. Ukitaka kaache inabidi uwike kama jogoo.

Ha ha ha ha....

Sasa hivi vyumba vyetu vya uswahilini si ni balaa.....
 
Back
Top Bottom