Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Take it easy KikulachoChako.....Acha kuwa kama punguani wewe...nyie ndio aina ya wanaume manowekewa mpaka ratiba ya kugonga papuchi na wake zenu na mkitoka kazini huwa mnasugua masufuria huko jikoni....pumbaff...
Yaani mwanamke akuamulie hatima ya maisha ya damu yako......?? Yeye kama nani kwanza...???...kama papuchi tu si zinauzwa mpaka buku mbili tu.....sasa cha zaidi ambacho wanawake wengine hawana ni nini labda.....au huyo mwanamke ulitongozewa....??
Acha upimbi wewe ,nyie ndio huwa mpaka mnapagiwa masharti ya ndugu zako kufika kwako...huku ukisomesha ndugu wa mwanamke ambao kamwe hawana shukrani na hawata kujua kamwe....tena ujinga kama huu usiuseme mbele ya wanamume wenzio, unaweza ukachezea makofi kama sio ngumi kabisa.....utajisikiaje siku uko kwenye gari yako alafu unamuona ghafla anakatiza mbele na gunia la makopo ya chupa za maji...???
Utajisikiaje siku utakaoambiwa kuwa mwanao ni miongoni mwa machokoraa wanaoosha vioo barabarani....??
Utajisikiaje siku utakayopewa taatifa kuwa mwanao mpenzi amechomwa moto baada ya kukwapua mkoba wa mtu fulani baada ya kuwa mtoto wa mtaani...??? Hatima ya yote haya yanategemea maamuzi yako ya sasa.....au mkuu wewe ndio umeolewa na hiyo kazi amekutafutia baba mkwe....???.
Acha ujing.a wewe fanya maamuzi ya kiume wewe....
Last edited by a moderator: