KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Sikiliza,ndugu yako ni mtoto na si mkeo,ndoa ya kanisani ni bora kuliko mwanao?
Chukua mwanao ukae nae,hataki aondoke yeye akuachie watoto wako,utatafuta hata hg akuangalizie watoto.
Kwanza dogo mkubwa hyo,lini atapata mapenzi toka kwako,baadae atakukana hyo kwamba hukumlea.
Wanawake wapo tu,lakini huwezi jua hyo mwanao mola kampangia riziki gani.
Mkuu umeongea point ya msingi sana....jamaa kama vipi alitimue hilo janamke na aishi na wanae tu....unaweza kukuta hilo lijanamke linawazia mirathi tu kabla jamaa hajafa...