Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Sikiliza,ndugu yako ni mtoto na si mkeo,ndoa ya kanisani ni bora kuliko mwanao?
Chukua mwanao ukae nae,hataki aondoke yeye akuachie watoto wako,utatafuta hata hg akuangalizie watoto.
Kwanza dogo mkubwa hyo,lini atapata mapenzi toka kwako,baadae atakukana hyo kwamba hukumlea.
Wanawake wapo tu,lakini huwezi jua hyo mwanao mola kampangia riziki gani.

kumbuka atayekaa na mtt ni yule mkeo, be careful. nakushauri usilazimishe, find another alternative. nakusihi sana mm ni mwanamke pia.
 
Wewe ni mmoja wa wanaume wepesi dunia hii! Kweli mtu ananyanyasa mwanao ukiwa hai???? Jipange mapema maana siku ukiwa huna ajira hawezi kukutunza...maana wewe si damu yake.
Vunja ndoa.
Kama umezaa naye, mwambie watalelewa na wenye moyo. Kuna wanawake walio wema.
 
Mkuu umeongea point ya msingi sana....jamaa kama vipi alitimue hilo janamke na aishi na wanae tu....unaweza kukuta hilo lijanamke linawazia mirathi tu kabla jamaa hajafa...


nimeshangaa kuona leo mwanaume yuko radhi atetee ndoa yaki ili hali mwanae akiteseka nje,lakini inaonekana mwanamke ana sauti kwenye hii nyumba kuliko mwanaume au mwanamke yuko juu kiuchumu kuliko mwnaume.
 
Story yako na yangu zinafanana 80%, ila mie wangu nakaa nae na nimeoa mke mjasiliamali siyo mtumish mwenzangu. Mtoto wangu wa nje nilimpata mwaka wa 3 nikiwa chuo, aise kuna kipindi alidiriki kusema kwakuwa tunagombana kutokana na mtoto huyo bora nimrudishe kwa mama ake, kauli yangu ni moja tu. Atoke yeye mwanangu amwache.

Ila huwa namwambia kauli moja mzito sana kuwa, watoto anaowazaa yeye wanaweza kuwa mambulula haka anakokakataa kakawasaidia wadogo zake na yeye mwenyewe, ya Mungu ni mengi, huyu mtoto ni genius sana na mke wangu kaishia form four akafeli, natabiri makubwa kwa huyu mtoto kuja kuisaidia familia hasa pasipo uwepo wangu.
 
Huyo mtoto kama ni wakike usithubutu kumuweka na mama wakambo watoto wakike wana mapenzi makubwa na baba zao hivyo automatically hatampenda mama yake wakambo hata akimchukulia kama mwanae pia wamama na watoto wakike huwa hazipandi kivile kwa vile wote wanampenda baba, ila kama ni wakiume shida sio kubwa maana wanauvumilivu na hawana wivu na baba zao kama hao wakike, peleka huyo mtoto boarding school then wakifunga mpeleke kwa ndugu zako kamwe connection na huyo mama isiwepo.
 
Ohhhhhwww right ni ngumu kuforce mambo hasa kama hayo yakulazimisha mtu kulea mwanao,I naitaji awe mchamungu sana na muelewa sana nenda nae taratibu tu na jaribu kuongea nae kiukaribu sio force ,mpeleke kwa mamayako ikiwezekana ila hayo ndio maumivu mengine ya kuzaa nje
 
Sikiliza,ndugu yako ni mtoto na si mkeo,ndoa ya kanisani ni bora kuliko mwanao?
Chukua mwanao ukae nae,hataki aondoke yeye akuachie watoto wako,utatafuta hata hg akuangalizie watoto.
Kwanza dogo mkubwa hyo,lini atapata mapenzi toka kwako,baadae atakukana hyo kwamba hukumlea.
Wanawake wapo tu,lakini huwezi jua hyo mwanao mola kampangia riziki gani.
Baadhi ya maneno yako ni sahihi ila sio yote.
DUNIA HAPA UKITAKA UISHI VIZURI SANA KWA AMANI MOYONI ISHI KULINGANA NA KANUNI ZA MUNGU.
KUZAA KABLA YA NDOA NI VABAYA SIO VIZURI ,
KWA SABABU SIO AGIZO LA MUNGU NA INATOKANA NA UZINZI.
ASILIMIA KUBWA WANAOZAA KABLA YA NDOA AU NJE YA NDOA WANAKUWA WANAJUTIA SANA HUKO MBELENI.
NA WATOTO WA NAMANA HIO WANAKUWA WANAISHI MAISHA MAGUMU KWELI .
MPAKA AFIKE MKUBWA AHANZE KUJITEGEMEA.
UKIZAA KABLA YA NDOA JIANDAE KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA HUKO MBELENI UNAWEZA UKAKUTANA NA DRAMA KAMA HIZO AU USIKUTANENAZO.
 
ILA NDOA NI TAKATIFU NA MUASISI WA NDOA NI MUNGU.
KAMA MWENZIO HAJAKUBALIANA NA HILO BASI USILAZIMISHE TAFUTA MAZINGILA MENGINE YA MTOTO KUISHI NI MISTAKE YAKWAKO.
 
Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 8 nilimpata nikiwa mwaka 2 chuo ambapo kutokana na mamake kutokuwa mvumilivu kunisubiria nimalize kusoma aliamua kuolewa na kumuacha nyumbani kwao mtoto, nilipohitimu chuo na baada ya kupata kazi niliamua kumtafuta mwenza wa kuoa ambapo kabla ya yote nilimwambia ukweli kuwa nina mtoto na yeye akakubali atamlea lakini mara baada ya ndoa akanigeuka hataki kumuona mtoto huyo na kule anakokaa mtoto wanataka nimchukue.

Nimetumia kila njia imeshindikana msimamo wake ni hataki kumlea mtoto wa mwanamke mwingine, nifanyeje hapa wakuu maana nikilazimisha (uwezo huo ninao) anaweza kuwa anamtesa mtoto kipindi sipo akamsababishia matatizo ikitegemea huwa nasafiri mara kwa mara na sikai nyumbani sana na kuvunja ndoa siwezi maana ni ya kanisani na tayari tuna watoto
wengine wawili.

Ushauri wakuu
Mrejesho mkuu.
 
Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 8 nilimpata nikiwa mwaka 2 chuo ambapo kutokana na mamake kutokuwa mvumilivu kunisubiria nimalize kusoma aliamua kuolewa na kumuacha nyumbani kwao mtoto, nilipohitimu chuo na baada ya kupata kazi niliamua kumtafuta mwenza wa kuoa ambapo kabla ya yote nilimwambia ukweli kuwa nina mtoto na yeye akakubali atamlea lakini mara baada ya ndoa akanigeuka hataki kumuona mtoto huyo na kule anakokaa mtoto wanataka nimchukue.

Nimetumia kila njia imeshindikana msimamo wake ni hataki kumlea mtoto wa mwanamke mwingine, nifanyeje hapa wakuu maana nikilazimisha (uwezo huo ninao) anaweza kuwa anamtesa mtoto kipindi sipo akamsababishia matatizo ikitegemea huwa nasafiri mara kwa mara na sikai nyumbani sana na kuvunja ndoa siwezi maana ni ya kanisani na tayari tuna watoto
wengine wawili.

Ushauri wakuu
Mrejesho mkuu.
 
Duh, kiubinadam ni ngumu sana kulea mtoto wa kambo coz ankakukumbusha maovu ya mwezi wako aliyoyafanya nyuma. Ni bora umtafute mjane yeyote anayeishi peke ake au na watoto wake tu umlipe hela akusaidie kulea.

.. Kumleta hapo will tear apart your wife, you and even that 'boy'... Ni ngumu sana kuishi na mtoto wa nje kama una roho ndogo. Tafuta mtu ambaye hana collision of interest. hata kama ni ndugu yako, mlipe akulelee mtoto. It will help both of you...
Haya siyo maovu. Kwa sababu amepatikana hata kabla ya kumpata huyo mke wake. Kwani huyo mke alimkuta na kingozi chake aka bikra?
Mwanamke tu huyo ana roho mbaya yuko hapo kwa fursa tu. Kwanza ni kabila gani? Mtafutie hata kwa ndugu zako akakae. Atakuja kuwa msaada mkubwa sana kwako. Utanishukuru baadae.
 
Kama mwanaume haupaswi kuomba ushauri kwa hili. Chamsingi Fanya maamuzi ambayo kwako utahisi yana usahihi.
Mwenza unaweza ukamtafuta mwingine, lakini mtoto wako huwezi ukamtafuta mwingine, Thaminisha mtoto na mke/ mume then unaweza ukapata jibu sahihi.
Mtazamo wangu ni, Kama mke/ mume hampendi mwanao hapo maanayake huyo mwenza wako hakufai.
Over....
Mkuu kumbuka kazaa na wanawake wawili tayari na ana watoto3 na kumbuka nyumbani kwake anakaa na mtoto wa dada so akija hapo home ni nyumba ya watoto 4 plus Baba na mama 6.
Sasa akimfukuza mama na aoe mwingine na akiongeza mtoto unafikili itakuwaje hapo.
 
yako.....kwanza una uhakika kama hao waliopo nyumbani ni wa kwako kweli au amebambikia tu...nenda kapime DNA..
Hata huyo wa nje alimpima DNA mkuu????
Akampime pia
Alimpata akiwa yupo chuo.
Sasa chuoni wabinti wanakuwa na watu wengi wanadate now, akampime DNA na huyo pia.
 
Acha kuwa kama punguani wewe...nyie ndio aina ya wanaume manowekewa mpaka ratiba ya kugonga papuchi na wake zenu na mkitoka kazini huwa mnasugua masufuria huko jikoni....pumbaff...
Yaani mwanamke akuamulie hatima ya maisha ya damu yako......?? Yeye kama nani kwanza...???...kama papuchi tu si zinauzwa mpaka buku mbili tu.....sasa cha zaidi ambacho wanawake wengine hawana ni nini labda.....au huyo mwanamke ulitongozewa....??
Acha upimbi wewe ,nyie ndio huwa mpaka mnapagiwa masharti ya ndugu zako kufika kwako...huku ukisomesha ndugu wa mwanamke ambao kamwe hawana shukrani na hawata kujua kamwe....tena ujinga kama huu usiuseme mbele ya wanamume wenzio, unaweza ukachezea makofi kama sio ngumi kabisa.....utajisikiaje siku uko kwenye gari yako alafu unamuona ghafla anakatiza mbele na gunia la makopo ya chupa za maji...???
Utajisikiaje siku utakaoambiwa kuwa mwanao ni miongoni mwa machokoraa wanaoosha vioo barabarani....??
Utajisikiaje siku utakayopewa taatifa kuwa mwanao mpenzi amechomwa moto baada ya kukwapua mkoba wa mtu fulani baada ya kuwa mtoto wa mtaani...??? Hatima ya yote haya yanategemea maamuzi yako ya sasa.....au mkuu wewe ndio umeolewa na hiyo kazi amekutafutia baba mkwe....???.
Acha ujing.a wewe fanya maamuzi ya kiume wewe....
Mkuu Punguza hasiara.
 
Back
Top Bottom