Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Pole Bro.. Niko speechless sijui hata nisemeje. Ila ninachojua kama MTU hamtaki or hampendi mwanangu basi ujue everything anachoniambia au kunipenda ni usanii Tutu. No true love there. Kwa situation yako naomba Jake chini na mkeo muongee na umsikilize manung'uniko yake . Binafsi niluwahi kuishi na mama wa kufikia na alijua kuwa kuna mtoto alizaliwa kabla na akakukabali . Siku ilipofika ya kuishi na Mimi life experience wasn't good at all . I don't even want to remember that nightmare . Honestly ongea na mkeo kama hataki kuishi na huyo mtoto please, please don't force her . You will have to find a way to take care of that baby she/ he is next future Pastor/ Prophet. Don't take this issue very light. My Dad forced my step mother to live with me and trust me it didn't turn good . As I said I don't want to remember those nightmares I went through. Kingine sisi women need to change kama kweli huyu kaka na my dad waliwaambia ukweli kuhusu their kids and tukakubali then why change now? Au tulikubali ili tuolewe then ndio tukatae. To my situation baada all she did to me ukubwani mwangu nilimfuata kwake na kumuambia nimemsamehe ( it wasn't easy , because I hated her so much but I thank God ), alikiri makosa yake baada ya kumuambia hivyo, Leo hii Mimi niliyekuwa sifai kwake ndio now every time Mungu an aniongoza to pray for her healing.. What I'm trying to say to you bro please don't let that baby to suffer please take care of that child ( our future Preacher please). Find a way to solve that problem in both sides. Pole Sana I feel your pain and disappointment unayopitia through. Mungu awape majibu wewe na mkeo ya majaribu mnayopitia now.. Amen. Thanks..
 
Ni mwezi mmoja umepita tangu nilete suala hilo hapa jukwaani nisikuleta suala hilo kama mzaha ni jambo ambalo linanigusa kwa ukubwa wa kipekee na kwa kutambua umuhimu wa wanajf hasa MMU nilitegemea kupata ushauri mzuri toka kwenu wapo watu walitoa ushauri mzuri sana mpaka wengine wakaweka exprience ya maisha yao wapo wengi walitoa ushauri wa kubeza na kubomoa lakini kwa hakika niliupokea ushauri wenu kwa moyo mkunjufu kabisa.
Kuhusu suala la kuvunja ndoa ni jambo ambalo haliwezekani kwa sababu tayari nina watoto 2 ambao nimezaa nae hivyo nikivunja ndoa nitakuwa na watoto 3 ambao itabidi walelewe na mama wa kambo je, yeye atakubali.
Kuhusu kutumia nguvu kumleta nyumbani nimeona nitamsababishia matatizo mtoto maana ni mdogo ataishi kwa shida hasa wakati ambao sipo nyumbani na itamuadhiri kisaikolojia.
Nilichoamua
nimetafuta shule ya boarding nchini Kenya na nategemea kumpeleka huko mwezi wa nane mihula yao itakapoanza vile vile niliweza kumtafuta mume mamake nikaongea nae kwa mapana zaidi ikiwemo kumuomba mtoto kwenda kumtembelea mamake pindi atakapofunga shule ili angalau apate mapenzi ya mamake akakubali hivyo mtoto ataenda boarding akifunga atakuwa anachagua pa kwenda kwa maana kwamba nyumbani kwetu kwa mama,bibiake mzaa mama na kwa mamake mzazi mpaka pale atakapofikia umri wa kujitegemea na kujitambua ndipo atakuja kuishi nyumbani.

Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Duuh nahisi kulia na kumchukia huyo mkeo .. ooh Lord help me.. why? Mbona child hanamakosa jamani ...bro huyo mtoto hata kama utampeleka boarding still its not going to change the fact that yeye kuhisi umemtelekeza . Nimepitia huko kaka . Watoto wa kike kama ni wa kike ni was baba siku zote .Hata wa kiume pia. Why people are so weaked ? Yaani kweli unashindwa kuishi na mtoto wa mume wako ambaye unamuambia kila siku unampenda na umeweka nae kiapo at Church . Hivi kweli mkeo anapataje usingizi , kula , furaha during this crisis... Mimi honestly nisingeweza , I wouldn't .. ningejisikia guilty and miserable ..for rest of my life .. Nisameheni bure tuu .. Jamani I still say tubadilike ... Thanks..
 
Ndoa is an agreement /contract. Kukubali mtoto wako was a Representation to induce you into the contract of marriage.
It wasnt a warrant that ungeweza kuvunja kama it was the opposite.
Pole sana huwezi vunja ndoa koz of that.
Vumilianeni tu mkuu
 
Mpekeke kwa bibi /babu yake... Wazazi wako kama wapo hai , wakusaidie kulea mjukuu lakini usiwasusie upeleke matumizi yote
 
Mpekeke kwa bibi /babu yake... Wazazi wako kama wapo hai , wakusaidie kulea mjukuu lakini usiwasusie upeleke matumizi yote

Wazazi tena tuache wapumzike.
 
Ngumu mno kuishi na mtto wa kambo, i knw t very well.. Hata ujitahid umpende vip, damu nzito kuliko maji huwez kumpenda km wako wa kumzaa kabsa. kuanza ukimuona unajikuta muda mwngne unaingia chuki na mumeo kwa kukumbusha uharibifu alioufanya nyuma. serious ukifika hapo mtoto huwez kumpenda kbsa, sn sn utajiforce tu uonekane unampenda lakn moyon unajua mwenyew.. Na km mtto mwenyew kashakua bas unakuta huko alikokuwa anakaa kashajazwa maneno kibao akihamia tu hapo mtoto nae anaingia chuki na wew, kuwa ww ndie uliesababisha mama ake aachike, hawaelewagi jambo jngne.. Ni ngumu saaana, so hard. Hasa mara nyng ukiwa msichana hamnaga anaekuwaga na ndoto ya kuitwa mama wa kambo, ts ugly word. Nobody lyks tht name.. unahitaji moyo wa pekee lasivyo ndoa itakuwa chungu..
 
Umeongea yaliyo vichwani mwenu wanawake.
 
Kama ulimwambia hata kabla ya ndoa na akaridhia, basi itakua alitafuta tu njia ya kukupata, lakini hana mapenzi ya dhati na wewe na ana roho mbaya, kumbuka mtoto ni damu yako na lazima uoneshe kuwa unaipenda damu yako tena kwa dhati na hauko tayari kuona mtoto wako ananyanyasika wakati baba yake yupo hai na una uwezo wa kulea, simama na umtete mwanao weka mikakati na uisimamie, zen mlete mtoto hapo home.

Ukiendekeza mapenzi unayopata kwa mkeo atakushawishi vibaya juu ya mwanao, mtetee mwanao, ajisikie ana baba la sivyo ataishi kwa manyanyaso. Mama yake tu hana time naye unadhani ataenda wapi akapate upendo kama sio kwako.

Nb; Na nyie wanaume pia acheni kuwakataa watoto waliozaliwa na wake zenu kabla ya kuwaoa, ukute hata huyo mama mtoto ana tamani kuishi na mwanae lakini mumewe huko amekataa.

Well said dear... uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi .. I remember my own Father broke down with tears when the day He left me with my step mother . Those tears of his I have never seen to any other man ... He was broken very broken ... because my step mother told him she couldn't live with me ... I have never understood before at that time but as I grew up now I do understanding .. Huyu kaka my dear ana mtihani mkubwa sana he needs prayers too to make a wise decision ... kwa maana yule ni mkewe na huyu ni damu yake . But at the end the blood is thicker than water .. And likija kwa swala la mama mzazi wa mtoto I just don't know agreement gani aliweka na huyo mume wake kabla hajaolewa. I can feel she seems don't have a voice in her marriage .. You know some of us women are afraid to discuss about our children we had before met our current husband ... Huenda because may be she was thinking too much to get marry to the guy than talk about how is he going to play a part as a step father ... so its really hard my dear .. Both sides need prayers honestly.. Thanks..
 
Kwangu mimi furaha ya mtoto wangu kwanza ndoa baadae!
Huyo mtoto wako anajuta kuzaliwa na baba wewe!
 
Ngumu mno kuishi na mtto wa kambo, i knw t very well.. Hata ujitahid umpende vip, damu nzito kuliko maji huwez kumpenda km wako wa kumzaa kabsa. kuanza ukimuona unajikuta muda mwngne unaingia chuki na mumeo kwa kukumbusha uharibifu alioufanya nyuma. serious ukifika hapo mtoto huwez kumpenda kbsa, sn sn utajiforce tu uonekane unampenda lakn moyon unajua mwenyew.. Na km mtto mwenyew kashakua bas unakuta huko alikokuwa anakaa kashajazwa maneno kibao akihamia tu hapo mtoto nae anaingia chuki na wew, kuwa ww ndie uliesababisha mama ake aachike, hawaelewagi jambo jngne.. Ni ngumu saaana, so hard. Hasa mara nyng ukiwa msichana hamnaga anaekuwaga na ndoto ya kuitwa mama wa kambo, ts ugly word. Nobody lyks tht name.. unahitaji moyo wa pekee lasivyo ndoa itakuwa chungu..

My dear I understanding unachokisema but why alikubali from the begin? This is make me sick ... Alitakiwa akatae tangu mwanzoni or alifanya hivyo ili aoolewe ? Then abadilike? She had a chance to say No Wakati they dated na wakati walipokuwa wakienda kumtembelea yule mtoto .. honestly huyu mama hana tofauti na my step mother .. alikuwa akija hadi home na kuonyesha ananipenda kumbe alikuwa na lingine moyoni .. Common now I don't even feel sorry or sympathy for this lady ... I feel sorry for the child who all his/ her will think he/ she wasn't worth.. kwa kutembea na spirit of denial ..na baba MTU has to really pray for that child ..to break it. Huyo mama ila ajue masononeko ya huyu mtoto asiyetaka kumlea it will come to hunt her own kids na asijue nini cha kufanya .. Jamani kama kweli anampenda Mungu why she acts this way. Kwa maana kama Mungu angekuwa anatubagua sisi I don't think so if God could ever forgive our sins every day and every time .. Agghhh I just don't get it .. may be that lady has to come here and tell us..on her side story .. Thanks..
 
Well said dear... uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi .. I remember my own Father broke down with tears when the day He left me with my step mother . Those tears of his I have never seen to any other man ... He was broken very broken ... because my step mother told him she couldn't live with me ... I have never understood before at that time but as I grew up now I do understanding .. Huyu kaka my dear ana mtihani mkubwa sana he needs prayers too to make a wise decision ... kwa maana yule ni mkewe na huyu ni damu yake . But at the end the blood is thicker than water .. And likija kwa swala la mama mzazi wa mtoto I just don't know agreement gani aliweka na huyo mume wake kabla hajaolewa. I can feel she seems don't have a voice in her marriage .. You know some of us women are afraid to discuss about our children we had before met our current husband ... Huenda because may be she was thinking too much to get marry to the guy than talk about how is he going to play a part as a step father ... so its really hard my dear .. Both sides need prayers honestly.. Thanks..

Ndio hivyo mkuu, maisha yana changamoto nyingi, lazima tumuombe Mungu na akili kichwani pia
 
Ndio hivyo mkuu, maisha yana changamoto nyingi, lazima tumuombe Mungu na akili kichwani pia

My dear women like this are so fake. They can even kill you without knowing it.. Iko ile roho ya huruma iko wapi aliyotupa Mungu kwa sisi wanawake . Kama MTU anamuambia mumewe anampenda kila siku na kulala nae kitanda kimoja but blood ya mumewe anaikataa ,duuh . May b I am wrong but kwa nilivyolelewa if I do this nafsi na moyo vitanisuta na kupoteza Peace. The truth is First my family will never allow me to do this .. Wapwani wale watanisema na kunisusa because they didn't raise me to become a monster Bali to become the way God wants me to b inorder to fulfil his purpose through my life . Thanks..
 
Kwanza ulishawahi kumwambia kama una motto? Pili kama motto amemkuta binafsi sioni shida tena ningemchukua nikamlea ila mama yake akitaka kumuona ananipigia mm ndio nampeleka washinde nae kama ni kulala kwa mama atalala nitamfuatia mm na sio baba yake.
 
My dear women like this are so fake. They can even kill you without knowing it.. Iko ile roho ya huruma iko wapi aliyotupa Mungu kwa sisi wanawake . Kama MTU anamuambia mumewe anampenda kila siku na kulala nae kitanda kimoja but blood ya mumewe anaikataa ,duuh . May b I am wrong but kwa nilivyolelewa if I do this nafsi na moyo vitanisuta na kupoteza Peace. The truth is First my family will never allow me to do this .. Wapwani wale watanisema na kunisusa because they didn't raise me to become a monster Bali to become the way God wants me to b inorder to fulfil his purpose through my life . Thanks..

Ndio hivyo sasa, na ni ngumu kumfanya mtu asiye na huruma awe na huruma labda neema ya Mungu mwenyewe imshukie, ila hata nyie pia muache katabia haka mnacho pia.
 
Shule sio tiba ya tatizo bali mtoto ataendelea kukosa mapenzi ya wazazi na hii inapelekea watoto kuwa na tabia za ajabu sana. Acha kabisa kudhani kwamba shule ndio suluhisho hata huko kenya ndio kabisa utatumia fedha sana lkn kitabia unamharibu mwanao. Mimi ni mwalimu na hilo suala watu wengi huwa hawaelewi makuzi yanavyomuadhiri mtoto. Pole kaka. mpe dada yako au kaka yako akae nae. huyo mama ni nyoka iko siku atamuua. Hili ni suala gumu kupindukia lakini watu wengi hulichukulia kimzaha. Natamani ningekuwa kijana niolewe tena wote waniletee watoto wao. Huyo mama pambaf kabisa. ni mchoyo kutoka moyoni mpk kwenye kope. Ulimpendaje mnafiki muongo huyo??? Huykusoma alama za nyakati? Kama ameshindwa kumpenda mwanao tena bado malaika, huyo mama ataishia pabaya hata wewe anakusanifu hana upendo wa dhati. Pole
 
Utaniruhusu nikulele mwanao???? wa kwangu mkubwa saa hizi 20 yrs tukiwa na hg mambo yatakuwa poa sina tatizo n i like children
 
hapo lazima kuna kitu ambacho kinamkwamisha yule mwanamke kulea yule mtt, tafuta source ya tatizo kwanza!
 
Back
Top Bottom