Mwanamke kakimbia na akili yangu

Mwanamke kakimbia na akili yangu

Pole sana mkuu sasa saahivi unaweza kufanya mapenzi bila kupewa visivyipewa unaweza futa ya mwanzo ukamrudia mama yasi kama unaweza usinywe pombe tena kaa muyajenge na mama yasi mwambie humuukumu wala yeye asikuhuku start a new chapter kamanda,,,kama huwezi mwambie ahamie kwa Mr range ubaki na watoto , lakini unamoyo kuletewa Mme mwenzio ndani sijawahi sikia hii
 
Duniani Kuna vituko hiki chako ni zaidi ya hivyo mkuu

Huyo ni mkeo Chagua moja kusuka au kunyoa kwa kuwa na maamzi ya kiume juu ya hatima ya family yako

Kama hapo ni kwako mtimue huyo mwanamke aende akaishi na huyo mwanaume maana huko ni kuvuana nguo hadharani
Aliomfanyia yeye ni mazuri kwasababu mke ana moyo wa plastic asubili tu wakulane mpaka watosheke tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuacha si atang'ang'ania mali zangu. SIMUACHI NA HATA KIJIKO HAPATI
Kosa uanze wewe halafu useme hapati hata kijiko duuu mkuki kwa nguruwe ati wewe kaa chini siku ngapi pombe ziishe mwambie vipi namna gani ufanye utaratibu kama kila mtu ashike njia yake au waozeshe kabisa, kuua haitakusaidia wakipona je halafu wewe ukaishia segerea faida iko wapi usijarabu kufanya kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom