RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,613
- Thread starter
- #61
Du pole sana mkuu,hadi nimekosa cha kushauri
chochote chaweza kua msaada mkuu
Du pole sana mkuu,hadi nimekosa cha kushauri
Unakuta kidumu ndani unashindwa kureact? Kweli umekamatwa! Nenda kwa mdigo maana ndo anakufaa. Mwache mkeo aendelee na jamaa mupyaAnahitaji mwanamume sawa lkn sio ndani kwangu, hata kama niko mlevi kiasi gani kulimezea nashindwa
Unakuta kidumu ndani unashindwa kureact? Kweli umekamatwa! Nenda kwa mdigo maana ndo anakufaa. Mwache mkeo aendelee na jamaa mupya
Unajiongezea matatizo. Na hicho kitendo kitakugharimu maisha yako yote. Ni wewe mwenyewe umeharibu tangu mwanzo na umekubali. Mbona mkeo hajakuua siku zote hizo na umemsababishia maumivu mengi?Ntamuacha ila sio kwangu. Kabla week haijaisha mtaskia mtu kachomwa moto
Unajiongezea matatizo. Na hicho kitendo kitakugharimu maisha yako yote. Ni wewe mwenyewe umeharibu tangu mwanzo na umekubali. Mbona mkeo hajakuua siku zote hizo na umemsababishia maumivu mengi?
Kama humtaki muache kwa amani endelea na maisha yako mapya uliyoyachagua!
Yeye hana mchango wowote kwenye ndoa yenu? Haya mahusiano bana..chuki yote hiyo imetoka wapi kwa mkeo kipenzi? Yale mapenzi yenu kabla ya ndoa yameishia wapi?Kumuacha si atang'ang'ania mali zangu. SIMUACHI NA HATA KIJIKO HAPATI
Yeye hana mchango wowote kwenye ndoa yenu? Haya mahusiano bana..chuki yote hiyo imetoka wapi kwa mkeo kipenzi? Yale mapenzi yenu kabla ya ndoa yameishia wapi?
Mali zako zina thamani kiasi gani mpaka uziwazie hivyo? Hiyo uliyo nayo ni roho ya umasikini..Humtaki mke basi muache kwa utaratibu. Vita ya nini sasa? Umelikoroga mwenyewe..rekebisha maisha yako ndugu yangu maana unajiongezea matatizo.
Machozi ya mwanamke tena ambae hana hatia yatakuhaunt maisha. Let her go peacefully.
Kila la heri. Umetambua kabisa dhambi inakukumbiza na wewe unapunguza speed ili ikukamate.Tayari dhambi inanikimbiza sasa, siwezi kuikimbia tena lazma niikabili. Siwezi kuendelea kumuangalia anaoa mwanaume ndani na mi nipo sijafa.
Kila la heri. Umetambua kabisa dhambi inakukumbiza na wewe unapunguza speed ili ikukamate.
Kama hii hadithi yako ni ya kweli na hizo ndio plans zako basi tatizo lipo. Na unalifurahia na kuzidi kuharibu maisha yako binafsi? Why uruhusu binadamu kuharibu furaha yako? Wewe ni mwanaume, fanya maamuzi magumu ya kiume. Either upatane na mkeo msahau yaliyopita au umwache aende zake kwa Mr.Range.
Tafuta amani moyoni mwako na si kuongeza matatizo ambayo mwisho wa siku victim ni wewe na watoto wako!
Una pepo baki na pepo lako. Kwaheri!Na mwanangu nimemficha huko ulaya. hatokaa amuone maisha yake yote. Na nina mpango wa kumwandalia msiba fake wa mama yake kama sitommaliza kweli
Una pepo baki na pepo lako. Kwaheri!
Zimefika.Nisaidie kupeleka salamu uendako "Demi"
You sound like a true soldier who by any means can solve a problem without violence, I mean violence. Kwa kifupi wewe siyo wa kwanza kupitia/kufikia hatua hiyo mkuu. You can still get back to your normal life. Fuata taratibu nzuri na zenye mashiko kusolve issue yako. Na ndiyo maana kuna wahenga. Jaribu yafuatayo kama hujayafanya na ondoa mawazo ya heshima kwa sasa:Tayari dhambi inanikimbiza sasa, siwezi kuikimbia tena lazma niikabili. Siwezi kuendelea kumuangalia anaoa mwanaume ndani na mi nipo sijafa.
You sound like a true soldier who by any means can solve a problem without violence, I mean violence. Kwa kifupi wewe siyo wa kwanza kupitia/kufikia hatua hiyo mkuu. You can still get back to your normal life. Fuata taratibu nzuri na zenye mashiko kusolve issue yako. Na ndiyo maana kuna wahenga. Jaribu yafuatayo kama hujayafanya na ondoa mawazo ya heshima kwa sasa:
1. Tafuta watu wa pande zote mbili (Upande wako na upande wa mkeo), ikiwezekana ongea nao kwa nyakati tofauti tofauti na onyesha kujutia kitendo hicho na uwaombe msaada wa kuongea na mkeo myamalize. I know you better than that bro!!
2. Jaribu kumface mkeo mweleze jinsi ulivyomkosea na namna unavyotamani mrudi katika enzi zenu za awali. Kutegemea na jibu la mkeo, unaweza kurekebisha namba 1 hapo juu ili iendane na hali halisi ya majibu ya mkeo. I know you better than that bro!!
3. Kama mambo yote haya hayako sawa, jaribu kutuliza akili, anza kujiwekea malengo makubwa ya kuwekeza kwa ajili ya maisha baada ya kustaafu naimani itakuweka busy na utajikuta mawazo mazuri ya namna ya kusolve family issues yanajirudi vizuri na hatimaye utakuwa katika hali nzuri. I know you better than that bro!!
Amen and its my pleasure brother!! Fanya hivyo mkuu, heshima itarudi tu even after five years itarudi. Never say die, its too early. And a true soldier haishiwi mbinu za kupambana tena issue inayohusu familia yake. Pambana intelligently brother.Thnks ndugu barikiwa
Amen and its my pleasure brother!! Fanya hivyo mkuu, heshima itarudi tu even after five years itarudi. Never say die, its too early. And a true soldier haishiwi mbinu za kupambana tena issue inayohusu familia yake. Pambana intelligently brother.
Asante muhenga Wa kidigo[emoji12] [emoji12]Mchuma jangu hulila na mdigo wake
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante muhenga Wa kidigo[emoji12] [emoji12]