Aiseee kweli naona uchungu ktk maandishi yako hujaandika ilimradi kuandika ,,, mtu mzm anapolia ujue kuna mawili either kaumia sana au anafuraha sana .
Kuhusu Mdigo sio kwamba kaondoka na akili yako ,maana mpaka mnaachana na mdigo nikithibitisho tosha kua akili yako ipo,,, kinachokumaliza nafikra juu yanhuduma alokupa hususan kupewa kisichopewa ,,,hii kitu ukishaipata kiukweli inavuruga sana akili naunaweza kuitelekeza familia .
Kuhusu Mkeo ,, kwatabia alofikia nimbaya sana haiwezekan afanye ubaya eti kisa naww ulifanya baya,, Kama Huyo mama angekua anajielewa namwenye Hofu na Mungu yeye ndo angekua mstari wambele kukuokoa wewe mume wake kwaajili ya familia yenu ,, lkn sio kufanya huo ujinga ambao mwisho wasiku utawamaliza wote. HAPA MKEO NAWEZA SEMA SIO MKE BORA.
Kuhusu Afya yako ,,,, Kwanza nakuomba nipo chini ya magoti yako ,,Ondoa mawazo mabaya yakuhisi Una HIV aiseee utakonda Sana'a sanaaa , kuzorota Kwa afya yako nisababu ya Msongo mkubwa was mawazo ulopitiliza ,,kukoswa usingizi wakutosha ,,,Unywaji wapombe ulopitiliza ,, Kwaufupi upon na emotional stress ambayo itakupa physical complications kama vile ulcers ,,mawazo heartache n.k .... Mkuu kwaiyo ndio maana unazota .
TIBA
Jaribu kujipa muda wa kuongea tatizo lako na marafiki unaowaamin .
Kula balanced diet ,,,na kunywa maji mengi kila Mara ,,,plz plz make sure muda wote unachupa ya MAJI YA KUNYWA Kilimanjaro..Maji yanaondoa stress ,,maji yanang'arisha mwili ,,maji ni kiungo muhimu ktk ubongo ,,maji yansongeza mzunguko wadamu mwilin na volume ya dam mwilin,,AISEEEE KULA NA KUNYWA MAJI .
Make Sure unakua Positive Muda wote Yaan hapa MKUU NAKUITAJI UWE POSTIVE KIMWILI NA KIMAZINGIRA MAKE SURE UNAEPUKANS NSMAMBO YANAYOKUPA JAZIBA AU KUFIKIRIA VISIVOFIKIRIKA .
ACHA KABISA KUNYWA POMBE ,,IYO MIPOMBE NDO INAONGEZA MATATIZO NA AT THE SAME TIME INAKUYUMBISHA KIUCHUMI ,,,Aiseee Mkuu IVI UNAJUS WEWE NI MWANAMME BORA SANA ?? IVI UNAJUA WATU WENGI WANATAKS KUA KAMA WEWE ??? YOU ARE GENTLEMAN ,,WISE SASA KWANN UJIONE MKOSAJI KIASI IKO ????KWANN UJIHISI USIYEFAAA ???? BINAFSI SIKUJUI MKUUU ILA DAAAH KTK MAANDIKO NMEKUONA KAMA MWANAMME MWENZANGU AMBAYE UNAUPEKEE WAHALI YA JUU NA MWENYE BAHATI USIYE MAKUU ,,SASA KWANN UJIHISI MWENYE DHAMBI KIASI IKO ???? CAMOOOON AISEEEEE UNGEKUA KARIBU YANGU NINGEKUPIGA MINGUMI YA URAFIKI AISEEE( kidding).
SASA MKUUU NATAKA TUIBADILISHE FAMILIA HUSUSANI MKE ,,NA MUISHI KAMA ZAMANI NAJUA UPO TAYARI ,, UNGANA NAMI SASA .
KWANZA SUALA LA KWENDA KUPIMA KWASASA ACHANA NALO.
USISHIRIKIANE KIMAPENZI NAMKEO KWA MUDA .
BADILIKA ,,IKIWEZEKANA OMBA KIJILIKIZO CHA MWEZI .
MAKE SURE UNAANZA KUJIFANYIA USAFI WAKO BINAFSI NA IKIWEZEKANA FANYA USAFI WANYUMBA WATOTO ,,,HAPA USICHOKE ( mfulie mkeo nguo zake ,,,ningumu ila Fanya ivo ) make sure wewe ndo unajifanya kua mama wa nyumba ,,,HII ITASAIDIA SANA KUMSHINDA MOYO NAKURUDISHA MOYO WAKE KWAKO ,,,,ATAKUA ANAJIULIZA ( "" KWANN HUYU MWANAMME AMEBADILIKA NA KUANZA KUA MWEMA NAMNA HII ??????) ILI SWALI HATOLIPATIA MAJIBU NAMWISHO ATAAMUA KUJIRUDI. ..N.B hapa tunamtesa akili Kwa faida ya familia .
HAYO UWE UNAYAFANYA HUKU KILA SIKU YA KUSALI UNAENDA KANISANI ,,,AISEEE NASISITIZA FANYA HAYO UKU UKIENDELEA KUSALI ,,TENA IKIWEZEKANA HAKIKISHA UNAANZISHA IBADA YAUSIKU NYUMBAN ,,UNAWAITA WATOTO UNAMKARIBISHE NAYEYE ,,HATA AKIKATAA KILE KITENDO KITAANZA KUMSUTA MWENYEWE SO NI AMA AKUBALI YAISHE AU AENDELEE KUUMIA ,,NAKWAMOYO WA WANAWAKE NIWADHAIF HAWAIMIL KUUMIA.
BADAE SASA PIGA HATUA KWENDA KUPIMA DAMU PEKE YAKOOOOO.
ENDELEA KUISHI KAWAIDA N.B KWAUO MUDA USIRUHUSU KUMGEGEDA ,,YAAAN WEWE MFANYIE WEMA BILA KUOMBA KITU IN RETURN.
UTAJIKUTA SIKU MOJA ATAANZA KUJISOGEZAAAAAAA HUYOOOOOOO MARA KUJISEMESHAAAAA MARA CHUNGWAAAAA MARA AHITAJ KUKUNYOA NDEFU NAMWISHOOO ATAKUJA KUTAKA MCHEZO ,,,, NGUVU YA KUSAMEHEWA KWA MWANAMKE WAO HUA WANAAMINI AKIKUOMBA MSAMAHA ALAFU UKAFANYA NAYE MAPENZI NDIO UNAKUA UMEMSAMEHE ,,, SASA IKIFIKA HAPO ,,USIMKATALIE IA MWAMBIE """ MKE WANGU SOTE TUMEFANYA MAKOSA ,NIVEMA TUSIENDELEE KUFANYA MAKOSA , NAITAJI KUFANYA IKI KITENDO TUKIWA HURU ,NAOMBA TWENDE TUKAPIME KWANZA ILI TUANZISHE MAISHA MAPAYA "" n.b wewe utakua umeshajifaham sasa ule ujasiri ulouonyesha kwake unazidi kukupa nguvu ya kumshinda nayeye kuamin sasa umerudi ..
Yaaan ukijiua ,,SIKU namimi nikifa kama rafiki Nitakutafuta popote ulipo alafu nikutie bakora kila siku kwahuo ujinga wako.
Mkuu all in all Mwenyezi Mungu akusaidie ,, muwe wote naafya njema nazaidi ,,mrudi kuisha maisha yen mtunze familia . napenda kuona unarudi ktk mstari ,,mambo mazur yapo mbele ,,,usiruhusu yalopita kukuumiza..
Mche Mungu kwakua ktk yeye utayaweza yote.