Mwanamke huyu tumueleweje

Mwanamke huyu tumueleweje

Wacha kabisa munkari, jamaa alikua na afya yake ya kutosha ukimuona alivyo konda maskini halafu anampenda kweli mkewe ila dada sasa uuuh hata sijui anawaza nini
hivi unapendaje huku unakufa lakini? aii mwambie aondoke amwache huyo beberu
 
You are correct but hii kitu inaitwa ndoa has a lot of problems. Ndo mana ni wachache sana huweza kusema kwangu pametulia, kiafrika ndoa ni zaidi ya upendo bali wajibu wa kijamii. Ndo mana kukiwa na tatizo ndoani utashauriwa vumilia tu ndo maisha yanataka hivyo.

kuvumilia kupo lakini lipi.... uchumi umeyumba, kama ni mkristo biblia inasema ni heri mwanamke mchawi kuliko mwanamke jeuri sijui mwenye kiburi... ngoja hili andiko limenitoka kidogo nitakutumia ata PM ili ujue naongea nini
 
huyo si mwanamke ni shida .... mwambie kaka yako amwmbie rafiki yake kuwa amwachie hiyo nyumba yeye aondoke akatafute makazi mengine.... jamani sina maana mbaya ila nina maana ili future ya huyo mtoto isipoteee ni bora hata hati ya nyumba ikawa kwa jina la mtoto na kadi ya gari kwa jina la mtoto hapo mama hana chake owner ni mtoto ... mama anakula kupitia mtoto... baba atoe matumizi ya mtoto ya mwezi , malazi kila kitu hata atakapo anza shule iwe hivyo.....na kama Mungu akimpenda zaidi mtoto basi baba anauwezo wa kuamua kumfukuza ndani ya himaya yake

Uko sawa kabisa kakaangu ndo alichomshauri ila mi nikamwambia usifanye hivyo kwanza labda atabadilika, si unajua wadada hua hatuko moja kwa moja kumwambia muache, akasema anaumia sana kwaajiri ya mtoto kuna saa ana ham sana na mkewe lakini akimgusa tu huo ugomvi inabidi amshike kwa nguvu haahaaa kakangu alishauri ujinga eti hee si umsusie ukatafute jinsi huko nje mwee
 
hapo ni vitendo tu na si maneno, mfano mkatie matumizi binafsi yake yote, nasema matumizi yake binafsi mwezi unatosha na wala asibembeleze kula chakula cha usiku hiyo ndio dawa, akikomaa bila kulalamika mwezi kuna issue nyungine zaidi.....
 
uangalie ubora wa jiko je litadumu kama la kuota kutu mapema achana nalo pili uchukue jiko kulingana na hali ya uchumi wako usitake jiko la gesi wakati uwezo wako ni mkaa utasaidiwa nne uchukue jiko linalokufiti sio kubwa wala dogo chungu kienee sawa sawa sio wakati wa kupika uanze kulalamika ohoo jiko kubwa mara dogo uanze kutamani la jirani yako big no tano uchukue jiko litakalowaridhisha wana familia pia maana ukiwabeza kwenye uchaguaji siku likigoma hawatakusaidia kulirekebisha ni hayo tu lol

Dah bonge la somo asante miss neddy nimekusoma sana
 
Last edited by a moderator:
Tokea aolewe kwa ndoa na mumewe hata miaka miwili haijapita, kabla alikua yuko poa tu kwenye uchumba japo yalikua mapenzi ya mabali wanakutana kipindi cha likizo au kutembeleana, baada ya kuoana mwanaume kafanya mbinu zote akamuhamishia mke mjini ili awe karibu na yeye na mke kamkuta kaka akiwa na nyumba zake nne tayari na magari mawili akaona isiwe shida akamunulia na mkewe gari ya kwake maana mke alidai anataka gari yake binafsi na ana choice ya gari sio hizo za jamaa.

Jamaa akanunua, wakajaliwa watoto mtoto mmoja, ila cha kushangaza hata kabla ya mimba mwanamke kila siku analalamia ooh, unakoroma, ooh hujui mapenzi, ooh nikiumwa unaacha ku make love na mimi kwa kisingizio unanihurumia.

Kwenda ukweni kwao mume dada anavaa nusu uchi jamaa kamuomba vaa hata vitenge au khanga sio heshima mke anamwambia kama hunitaki narudi kwetu, mkwe kaona aibu kampa kanga vaa hii mama, basi usiku kucha kalia anataka kuondoka hayo sio maisha, basi wamerudi kwao anahama chumba kila siku analala chumba kingine, hamsemeshi mumue, mume akitoka kwenda hata bar kukutana na friends wake atamfuata huko baa atamtukana na kurukia ngumi makucha mradi ugomvi na pete baada ya miezi mitatu toka wafunge ndoa aliivua kisingizio inambana, kwakifupi anakaribia mwaka hawezi kutoa penzi kwa mumewe mpaka mume ambake, huyu jamaa ni rafiki sana wa kakaangu katuomba ushauri afanye nini na kwasasa mwamke kahama chumba kabisaa, outing hua hakubali kutoka na mumewe wala kwenye harusi wala sherehe yeyote. Ushauri

ushauri wenu wadau huyu kaka afanye nini? Maana kajitahidi kufanya kila njia ku mplease mkewe lakini wapi, mshahara wa mke hua hawezi nunua hata nyaya na mume hua hamuulizi, mafuta ya gari ni mume anamuwekea, pesa ya saloon ni mume, nguo na matumizi yote ni mume ila huyo dada hata chumvi hawezi nunua kwa pesa yake mpaka mume arudi, ushauri watu wangu.

Nakushauri, rudia kuisoma post yako, halafu irekebishe ili ueleweke.
 
kuvumilia kupo lakini lipi.... uchumi umeyumba, kama ni mkristo biblia inasema ni heri mwanamke mchawi kuliko mwanamke jeuri sijui mwenye kiburi... ngoja hili andiko limenitoka kidogo nitakutumia ata PM ili ujue naongea nini
Matatizo ya ndoani asilimia kubwa si uchumi na wenye ahueni kinaisha twapata tabu zaidi ya wale choka na illiterate. I will see the bible verse.
 
...eti akitaka machine lazima ambake....!!!!khaaa.....hii kali....huyo anataka talaka mgawane mali.....awe makini sana ktk kuachana nae,,, ana lake jambo huyooo......mpe hi jamaa....ndoa ndoano...
 
Uko sawa kabisa kakaangu ndo alichomshauri ila mi nikamwambia usifanye hivyo kwanza labda atabadilika, si unajua wadada hua hatuko moja kwa moja kumwambia muache, akasema anaumia sana kwaajiri ya mtoto kuna saa ana ham sana na mkewe lakini akimgusa tu huo ugomvi inabidi amshike kwa nguvu haahaaa kakangu alishauri ujinga eti hee si umsusie ukatafute jinsi huko nje mwee
hapo asisubiri wanawake tupo wengi aondoke amwache huyo mdada wewe nae unataka kaka wa watu aendelee kuwa mbakaji.... atazoea mwishowe ashindwe kuja kubembeleza... dada samahani huyo mkewe ni kabila gani?
 
...eti akitaka machine lazima ambake....!!!!khaaa.....hii kali....huyo anataka talaka mgawane mali.....awe makini sana ktk kuachana nae,,, ana lake jambo huyooo......mpe hi jamaa....ndoa ndoano...

jamaa asepe kimya kimya matumizi ya mtoto apeleke huyo bidada ni shida au anataka jamaa afe
 
Matatizo ya ndoani asilimia kubwa si uchumi na wenye ahueni kinaisha twapata tabu zaidi ya wale choka na illiterate. I will see the bible verse.

sawa nitakutumia ila nikumbushe
 
hayo ndo matatizo ya kuoa mwanamke bila kumjua tabia huyo bidada ni dhahiri hampendi jamaa alichopenda kwake ni maisha aliyonayo na jamaa anampenda sana mke wake hilo ni tatizo kubwa hapo jamaa anachopashwa kufanya aitishe kikao cha kifamilia upande wa mke na upande wake na majirani wenye busara wakae waongee na watakapofanikiwa kushuluhishwa basi wawekeane nadhiri misunderstanding hiyo ikitokea tena finaly iwe as the time for red card kila mmoja aangalie ustarabu wake kuwa na mtoto c tatizo labda endapo jamaa anawazia hilo.
 
Mgando ni kutaka hukumu kwa kusikiliza upande mmoja. Ndo maana nakuambia uolewe ili uone jinsi ya kubalansi.

Naheshim wazo lako Kongosho kwani ndo mwisho wako wa kufikiri asante kwa ushauri japo ni mgando
 
Kipenda roho hula nyama mbichi,hivi ni mwanaume gani ambaye mwanamke anamletea nyodo za namna hiyo akashindwa kumshikisha adabu?Kuna namna hapo ilikwishafanyika na mwanaume kakamatwa vilivyo na hana pa kutokea,mwambie aendelee hivyo hivyo kumpenda mkewe hata kama anavaa nusu uchi kwa wakwe zake,azidi kumpenda mkewe hata kama anapewa unyumba kwa masharti ila ajue mwisho wake ni kubaki bila kitu.
 
jamaa asepe kimya kimya matumizi ya mtoto apeleke huyo bidada ni shida au anataka jamaa afe
miss chagga mwanaume wa kweli hakimbii kwake hata siku moja,huyu kaka katulia vizuri kiuchumi akisepa mambo yake mengi yatamuendea vibaya mwisho utakuwa mbaya sana,akomae naye hapohapo mpka bidada atujua blue ni ipi na nyeupe ni nini.

Huyu bidada ni limbukeni wa maisha,alivyoona kaka wa watu ambaye ni classic kampenda basi naye akajiona ni full matawi,visa vyote anavyofanya ni ulimbukeni umemjaa kichwani mwake na kwa jicho la tatu ukiangalia ana mwalimu ambaye anampotosha na lengo la mwalimu ni amvurugie tu bidada.

Nini cha kufanya mwanaume afunguke kwa mkewe na ampe A-z yake,kisha asitishe huduma zote za favour,na ampotezee kwelikweli asimaind hata kidogo japokuwa kiroho kinauma ajikaze kisabuni,adili na mabusiness yake tu.Siku akitishia kuondoka amsijali amtengenezee njia yake vizur asepe,sasa huko ndo dunia itamfunza,mbona aturudi na magoti huyu. Mwanaume achange colour kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom