huyo mumewe anatia huruma ningekua Team B ningemsaidia
Kahntwe kuna wanawake ni maumivu ya kichwa mpaka unajiuliza huyu mtu anafikiri kwa kutumia nini kwanini asitulie tuu mbona ana familia bora mume mzuri anaye jiheshimu lakini unakuta mwanamke ni waluwalu hatari! ndo akama huyo dada kazoea ukimanga maisha ya kubanwa hayawezi na pia hataki hata kuiseti akili kuwa maisha yamebadilika status yake ni mke wa mtu fulani sasa .Mbona naona kama Shigongo at work
Kahntwe kuna wanawake ni maumivu ya kichwa mpaka unajiuliza huyu mtu anafikiri kwa kutumia nini kwanini asitulie tuu mbona ana familia bora mume mzuri anaye jiheshimu lakini unakuta mwanamke ni waluwalu hatari! ndo akama huyo dada kazoea ukimanga maisha ya kubanwa hayawezi na pia hataki hata kuiseti akili kuwa maisha yamebadilika status yake ni mke wa mtu fulani sasa .
Mbona naona kama Shigongo at work
Mkuu kuna wakati unajipa moyo kwamba labda atabadilika.Lakini unakuta mtu kumbe hana hata wazo la kubadilikaKuna mambo hayahitaji ishauri ni action tu.
Aisee mi ningepata mume wa hivyo ningempenda hadi aone kero.....mtoa mada niunganishe na huyo bwana walau niwe mchepuko tu...
Ndo Mambo ya kuokota mwanamke kwenye kigodoro...hadi ukweni analeta jeuri na kuonesha mapaja yake
Jaman hili nalo la kuuliza?? Kwan moyo wake unaaman kuendelea kuishi na mwanamke kama huyu?
Unataka kutuambia kuwa huyo jamaa ameshindwa kabisa nn afanye kwa mwanamke wa aina hyo??
Sasa ushauri wa nini.....
Ikikushinda ndoa si unatoka?
Jamani hizi thread na hizi ratiba zetu za kuoa itakuaje?
Mkuu kuishi na mtu ambaye huna hisia nae ni zaidi ya mtihani maana kila analofanya hata kama zuri hauta appriciate sanasana utamuona wa hovyo sanaHuyo mwanamke hampendi mumewe,ndio maana analilia kurudi kwao,anaona kuishi na huyo mwanaume ni mzigo mkubwa.....sio drama queen tu bt she also doesnt love him....ON TO THE NEXT ONE