Mwanamke huyu tumueleweje

Mwanamke huyu tumueleweje

Kwa hali yakawaida tunaweza kusema ni nitabia yake tu na ndo asili yake, yaani huyo ni PK tu ( Pasua Kichwa tu)! anakoelekea anaweza hata kumpa mtu sumu arithi hizo mali. Mwanamke wa jinsi hiyo hafai kabisa hata kumtazama tu.Huo ni mtazamo tu!!

LAKINI KWA UPANDE MWINGINE
some times huenda ni PEPO limemuingingia na linataka livunje ndoa yake!!Mbona hapo awali huyo mwanamke hakuwa hivyo hata kama yalikuwa mapenzi ya mbali( siamini sn kwenye ile filosofia ya kuwa eti mwanamke huficha tabia kabla ya ndoa, akishaolewa anaonyesha kucha zake, to me thats not true. MWANAUME MAKINI lazima ajue tabia za mke wake mtarajiwa kwakiasi kikubwa kwa jinsi/njia yeyote ile na kwa gharama yeyote ile kabla hajafanya maamuzi ya mwisho kabisa ya kumuoa binti husika. YES tofauti zipo na hazina budi kuwepo kwakuwa nyie sio ndugu na hata ndugu nao wanatofauti zao nyingi tu ikiwemo tabia). UKIMUOA AU KUOLEWA NAYE MAANA YAKE UMEMKUBALI JINSI ALIVYO NA UKO TAYARI KUMCHUKULIA ALIVYO NA KUMVUMILIA!!! Waswahili wanasema NIHERI KUKOSEA KUJENGA NYUMBA KULIKO KUKOSEA KUOA MKE!!!( pia ni heri kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuchagua mwanaume sahihi wakukuoa)!KABLA YA KUOA AU KUOLEWA MWAMBIE MUNGU AKUPE MTU SAHIHI!!!Laasivyo jiandae kwa MAJUTO!!

SWALI LANGU KWAKO MLETA MAADA: Je jamaa keshaenda kwenye maombi????if bado Mshauri aende na AZAME kwenye maombi kumwombea mke wake. YES nakubali tabia za huyo mke wake kwa sasa ni mbaya, zinauma, zinaudhi na hazichukuliki, ILA kama anampenda atamvumilia pia wakati maombi yanaendelea. To me: KUACHANA SIO SULUHISHO KABISAAAA sna sana inaweza kuleta matatizo mengine ya kifamilia ikiwemo mtoto wao kuwa wa kitaaa!!Lakini pia unaweza kuta tatizo liko kwa husband wake wa sasa, huyo bidada kwa mfano akaolewa tena na kidume mwingine ambaye unaweza kuta hata gari hana anaishi kwenye nyumba ya kupanga tu, mwanamke akatulia tuliiiiiii, wakifurahia maisha na mume wake hata kama cku nyingine wanashinda na kulala njaaa!! HIVYO, ni vema WOTE waendelee katika maombi na sala wakichukuliana, kusameheana na kuombeana!!,

TUKUMBUKE kuwa NDOA ni TAASISI TAKATIFU inayopitia majaribu makubwa na mikasa ya kila aina kila kukicha na lengo la shetani ni kuiharibu na kuisambaratisga kabisa taasisi hii kwani ndio chanzo cha mambo mengi mema, ikiwemo baraka, undugu, urafiki, upendo, amani, furaha, tumaini na NDOA ndizo chanzo cha familia ambazo ndio mwanzo wa kusanyiko la madhehebu na dini mbali mbali kama UKRISTO( Makanisani) au UISLAMU( Misikitini) zote hizi huanzia kwenye familia ambazo ni matunda ya ndoa. SHETANI HAPENDI KABISA HATA KUCKIA KITU KINAITWA NDOA!! Naamini kabisa MUNGU yupo,anaona na anasikia, kwa muda wake ataitembelea ndoa hiyo na kuiponya!!! najua pia atazitembelea ndoa nyingine nyingi zenye matatizo kama haya au yanayofanana na haya au zenye matatizo makubwa zaidi ya haya!!

NDUGU tusikate tamaa kutokana na matatizo haya ya ndoa, yanayofanana na ya huyo ndugu yetu au zaidi ya hayo. MLIOA na KUOLEWA kazeni mwendo SAFARI BADO NI NDEFU, na ambao bado HAMJAOA au KUOLEWA, msiogope, hii ni sehemu tu ya changamoto za maisha, hata wazazi wenu wamezipitia. UKIKUBALI KUOA/KUOLEWA KUBALI PIA CHANGAMOTO ZA NDOA!!! KWAPAMOJA TUKAZE BUTI KWANI MAPAMBANO YANAENDELEA!!!!

NAWASILISHA!!!!!
 
miss chagga mwanaume wa kweli hakimbii kwake hata siku moja,huyu kaka katulia vizuri kiuchumi akisepa mambo yake mengi yatamuendea vibaya mwisho utakuwa mbaya sana,akomae naye hapohapo mpka bidada atujua blue ni ipi na nyeupe ni nini.

Huyu bidada ni limbukeni wa maisha,alivyoona kaka wa watu ambaye ni classic kampenda basi naye akajiona ni full matawi,visa vyote anavyofanya ni ulimbukeni umemjaa kichwani mwake na kwa jicho la tatu ukiangalia ana mwalimu ambaye anampotosha na lengo la mwalimu ni amvurugie tu bidada.

Nini cha kufanya mwanaume afunguke kwa mkewe na ampe A-z yake,kisha asitishe huduma zote za favour,na ampotezee kwelikweli asimaind hata kidogo japokuwa kiroho kinauma ajikaze kisabuni,adili na mabusiness yake tu.Siku akitishia kuondoka amsijali amtengenezee njia yake vizur asepe,sasa huko ndo dunia itamfunza,mbona aturudi na magoti huyu. Mwanaume achange colour kidogo.

Huyo mwanamke hakawii kukuua, hapo dawa ni kumuondosha tu, unavumilia nini kwa gubegube Kama Hilo?? Mi hadi nimekasirika##$%!&, kwanza una gari nne halafu anataka umnunulie nyingine? Hizo akili au matope?
Mimi siogopi kuanza upya
 
Last edited by a moderator:

Ndugu umesema sawa yapo mengi yanayochangia hatujui nini kipo nyuma ya pazia,Mungu anabidi ahusike sana kwenye ndoa zetu, kwangu mimi nikiangalia bidada huyu ni limbukeni tu wa maisha,kuchaguliwa yeye kaona kwamba yuko top sana na ana walimu wa nje wenye kumpotosha,kama mwanzo alikuwa mtulivu huenda ana uvamizi wa mapepo pia.
 
miss chagga mwanaume wa kweli hakimbii kwake hata siku moja,huyu kaka katulia vizuri kiuchumi akisepa mambo yake mengi yatamuendea vibaya mwisho utakuwa mbaya sana,akomae naye hapohapo mpka bidada atujua blue ni ipi na nyeupe ni nini.

Huyu bidada ni limbukeni wa maisha,alivyoona kaka wa watu ambaye ni classic kampenda basi naye akajiona ni full matawi,visa vyote anavyofanya ni ulimbukeni umemjaa kichwani mwake na kwa jicho la tatu ukiangalia ana mwalimu ambaye anampotosha na lengo la mwalimu ni amvurugie tu bidada.

Nini cha kufanya mwanaume afunguke kwa mkewe na ampe A-z yake,kisha asitishe huduma zote za favour,na ampotezee kwelikweli asimaind hata kidogo japokuwa kiroho kinauma ajikaze kisabuni,adili na mabusiness yake tu.Siku akitishia kuondoka amsijali amtengenezee njia yake vizur asepe,sasa huko ndo dunia itamfunza,mbona aturudi na magoti huyu. Mwanaume achange colour kidogo.

sawa mam aila mi ningekuwa huyo mwanume na jinsi sipendi stress nishaondoka nakumwachikia kila kitu
 
Huyo mwanamke hakawii kukuua, hapo dawa ni kumuondosha tu, unavumilia nini kwa gubegube Kama Hilo?? Mi hadi nimekasirika##$%!&, kwanza una gari nne halafu anataka umnunulie nyingine? Hizo akili au matope?
Mimi siogopi kuanza upya

sawa kabisa mkuu punguza hasira lakin
 
Nimetulia aiseee, ila mademu Kama hao watupate sie ambao wale caring wanatuita maroboti

mmmh huwa hupati wa hivyo ... yani mi ningekuwa nishajiamishia sehemu nyingine.. stress sipendi kwa kweli
 
Wala asiumize kichwa atafute nyumba ndogo yake aiweke safe side kila akitaka atapata kwa mda muafaka tena asimuulize lolote ahakikishe majukumu nyumbani yanapatikana bila shida siku akiona hashuhuliki nae atajua hapa kuna dem nje ndio atajua kumbe jinsia yake hayupo peke yake atakuwa na adabu mpaka basi . Dawa ya mwanamke mwanamke mwenzie asikudanganye mtu.
 
Jamani hizi thread na hizi ratiba zetu za kuoa itakuaje?

hahahahah pole sana utafit najua inatsha kidogo... usiogope b'dam wote si sawa...
endelea na mipango ya ndoa na omba Mungu
 
Hivi dunia hii ya sasa bado kunawanamke wa namna hiyo kweli..mtu anapewa anachotaka bado havimtoshi nakutaka migongano,na gubu lisilo na maana...i wish nimuazime nafsi yangu huyo jamaa huyo mwanamke angejihusudu mbona..!,
 
kwa hali yakawaida tunaweza kusema ni nitabia yake tu na ndo asili yake, yaani huyo ni pk tu ( pasua kichwa tu)! Anakoelekea anaweza hata kumpa mtu sumu arithi hizo mali. Mwanamke wa jinsi hiyo hafai kabisa hata kumtazama tu.huo ni mtazamo tu!!

lakini kwa upande mwingine
some times huenda ni pepo limemuingingia na linataka livunje ndoa yake!!mbona hapo awali huyo mwanamke hakuwa hivyo hata kama yalikuwa mapenzi ya mbali( siamini sn kwenye ile filosofia ya kuwa eti mwanamke huficha tabia kabla ya ndoa, akishaolewa anaonyesha kucha zake, to me thats not true. mwanaume makini lazima ajue tabia za mke wake mtarajiwa kwakiasi kikubwa kwa jinsi/njia yeyote ile na kwa gharama yeyote ile kabla hajafanya maamuzi ya mwisho kabisa ya kumuoa binti husika. yes tofauti zipo na hazina budi kuwepo kwakuwa nyie sio ndugu na hata ndugu nao wanatofauti zao nyingi tu ikiwemo tabia). ukimuoa au kuolewa naye maana yake umemkubali jinsi alivyo na uko tayari kumchukulia alivyo na kumvumilia!!! waswahili wanasema niheri kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa mke!!!( pia ni heri kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuchagua mwanaume sahihi wakukuoa)!kabla ya kuoa au kuolewa mwambie mungu akupe mtu sahihi!!!laasivyo jiandae kwa majuto!!

swali langu kwako mleta maada: je jamaa keshaenda kwenye maombi????if bado mshauri aende na azame kwenye maombi kumwombea mke wake. yes nakubali tabia za huyo mke wake kwa sasa ni mbaya, zinauma, zinaudhi na hazichukuliki, ila kama anampenda atamvumilia pia wakati maombi yanaendelea. to me: Kuachana sio suluhisho kabisaaaa sna sana inaweza kuleta matatizo mengine ya kifamilia ikiwemo mtoto wao kuwa wa kitaaa!!lakini pia unaweza kuta tatizo liko kwa husband wake wa sasa, huyo bidada kwa mfano akaolewa tena na kidume mwingine ambaye unaweza kuta hata gari hana anaishi kwenye nyumba ya kupanga tu, mwanamke akatulia tuliiiiiii, wakifurahia maisha na mume wake hata kama cku nyingine wanashinda na kulala njaaa!! hivyo, ni vema wote waendelee katika maombi na sala wakichukuliana, kusameheana na kuombeana!!,

tukumbuke kuwa ndoa ni taasisi takatifu inayopitia majaribu makubwa na mikasa ya kila aina kila kukicha na lengo la shetani ni kuiharibu na kuisambaratisga kabisa taasisi hii kwani ndio chanzo cha mambo mengi mema, ikiwemo baraka, undugu, urafiki, upendo, amani, furaha, tumaini na ndoa ndizo chanzo cha familia ambazo ndio mwanzo wa kusanyiko la madhehebu na dini mbali mbali kama ukristo( makanisani) au uislamu( misikitini) zote hizi huanzia kwenye familia ambazo ni matunda ya ndoa. Shetani hapendi kabisa hata kuckia kitu kinaitwa ndoa!! naamini kabisa mungu yupo,anaona na anasikia, kwa muda wake ataitembelea ndoa hiyo na kuiponya!!! najua pia atazitembelea ndoa nyingine nyingi zenye matatizo kama haya au yanayofanana na haya au zenye matatizo makubwa zaidi ya haya!!

ndugu tusikate tamaa kutokana na matatizo haya ya ndoa, yanayofanana na ya huyo ndugu yetu au zaidi ya hayo. mlioa na kuolewa kazeni mwendo safari bado ni ndefu, na ambao bado hamjaoa au kuolewa, msiogope, hii ni sehemu tu ya changamoto za maisha, hata wazazi wenu wamezipitia. ukikubali kuoa/kuolewa kubali pia changamoto za ndoa!!! kwapamoja tukaze buti kwani mapambano yanaendelea!!!!

nawasilisha!!!!!

umenena vyema sana n so wisely. Am impressed.
 
hayo ndo matatizo ya kuoa mwanamke bila kumjua tabia huyo bidada ni dhahiri hampendi jamaa alichopenda kwake ni maisha aliyonayo na jamaa anampenda sana mke wake hilo ni tatizo kubwa hapo jamaa anachopashwa kufanya aitishe kikao cha kifamilia upande wa mke na upande wake na majirani wenye busara wakae waongee na watakapofanikiwa kushuluhishwa basi wawekeane nadhiri misunderstanding hiyo ikitokea tena finaly iwe as the time for red card kila mmoja aangalie ustarabu wake kuwa na mtoto c tatizo labda endapo jamaa anawazia hilo.

am not judging but mwenyew nahis dem hana mapenz tena na huyo jamaa... unless atupe upande wa pili wa story...
 
Tokea aolewe kwa ndoa na mumewe hata miaka miwili haijapita, kabla alikua yuko poa tu kwenye uchumba japo yalikua mapenzi ya mabali wanakutana kipindi cha likizo au kutembeleana, baada ya kuoana mwanaume kafanya mbinu zote akamuhamishia mke mjini ili awe karibu na yeye na mke kamkuta kaka akiwa na nyumba zake nne tayari na magari mawili akaona isiwe shida akamunulia na mkewe gari ya kwake maana mke alidai anataka gari yake binafsi na ana choice ya gari sio hizo za jamaa.

Jamaa akanunua, wakajaliwa watoto mtoto mmoja, ila cha kushangaza hata kabla ya mimba mwanamke kila siku analalamia ooh, unakoroma, ooh hujui mapenzi, ooh nikiumwa unaacha ku make love na mimi kwa kisingizio unanihurumia.

Kwenda ukweni kwao mume dada anavaa nusu uchi jamaa kamuomba vaa hata vitenge au khanga sio heshima mke anamwambia kama hunitaki narudi kwetu, mkwe kaona aibu kampa kanga vaa hii mama, basi usiku kucha kalia anataka kuondoka hayo sio maisha, basi wamerudi kwao anahama chumba kila siku analala chumba kingine, hamsemeshi mumue, mume akitoka kwenda hata bar kukutana na friends wake atamfuata huko baa atamtukana na kurukia ngumi makucha mradi ugomvi na pete baada ya miezi mitatu toka wafunge ndoa aliivua kisingizio inambana, kwakifupi anakaribia mwaka hawezi kutoa penzi kwa mumewe mpaka mume ambake, huyu jamaa ni rafiki sana wa kakaangu katuomba ushauri afanye nini na kwasasa mwamke kahama chumba kabisaa, outing hua hakubali kutoka na mumewe wala kwenye harusi wala sherehe yeyote. Ushauri

ushauri wenu wadau huyu kaka afanye nini? Maana kajitahidi kufanya kila njia ku mplease mkewe lakini wapi, mshahara wa mke hua hawezi nunua hata nyaya na mume hua hamuulizi, mafuta ya gari ni mume anamuwekea, pesa ya saloon ni mume, nguo na matumizi yote ni mume ila huyo dada hata chumvi hawezi nunua kwa pesa yake mpaka mume arudi, ushauri watu wangu.
Huyo ni jambazi mzoefu tupa kule
 
Back
Top Bottom