gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
hata wa kiume nao hana mtu anamshipa wa aibu aiii... sasa huyu mwanamke au beberu
Hahahahhahahahaha am speachless mai lavuuu u killed t
hata wa kiume nao hana mtu anamshipa wa aibu aiii... sasa huyu mwanamke au beberu
Hahahahhahahahaha am speachless mai lavuuu u killed t
Hahahahhahahahaha am speachless mai lavuuu u killed t
Jamani hizi thread na hizi ratiba zetu za kuoa itakuaje?
Guys si kazi rahisi kuacha mwanamke kwa mtu anaye jua thamani yake, ndoa na hasa maslahi ya watoto. It is just very difficult, nyie acheni tu usiombe yamkute hata mtu wa karibu yako.
Makomana Huyo kaka bado hajaamua kitu kingine bado zaidi ya kujaribu kujitahidi labda huyo dada atabadilika, lakini kila kukicha ni zaidi ya jana, yani ananuna mwanzo mwisho hapendi ndugu za mume hapendi mume aongee hata na ndugu zake mwanamke yani mradi shida tu, mume akirudi sambili usiku basi na anajua wazi foleni na yeye pia ni muajiriwa basi ikitokea afike wa kwanza home basi ni mnuno week, akifika mume wa kwanza hata salam hamsalimii mpaka tukamwambia labda hakukupenda kwakua ni graduate basi ukaona ndo mke wa kuoa mmhJaman hili nalo la kuuliza?? Kwan moyo wake unaaman kuendelea kuishi na mwanamke kama huyu?
Unataka kutuambia kuwa huyo jamaa ameshindwa kabisa nn afanye kwa mwanamke wa aina hyo??
Nilimtania jamaa nikamwambia au kakaangu sita kwa sita hujatulia akacheka tu akasema kwanini hakuliona hilo kwenye uchumba alione akiwa ndani? na mpaka kuzaa basi tu ana kero ambazo hata nashindwa nifanyeje hhh hapo nikakosa cha kusema kwakweli anadai wakwe walimletea sawadi na za mtoto wacha amtukane mume wake mi zawadi gani hii hapa ndo wameona zawadi hizi wacha awanunie week nzima mpaka wakaondokahuyu kaka amwache tu ili ajifunze ila ahakikishe matumizi ya mtoto anampa huyo mtoto that all .... ndoa isiwe kero au ugonjwa ya nini kumlazimisha mtu kujiheshimu ... ili limwanamke pumbafu kabisa jinga sana....... unaamua kuamsha timbirwi tu ndani ya nyumba kuna binadamu uwepo wao wa kufikiri mfupi mno/..... kama hajui mapenzi alikubali ya nini kuolewa nae ...
You are correct but hii kitu inaitwa ndoa has a lot of problems. Ndo mana ni wachache sana huweza kusema kwangu pametulia, kiafrika ndoa ni zaidi ya upendo bali wajibu wa kijamii. Ndo mana kukiwa na tatizo ndoani utashauriwa vumilia tu ndo maisha yanataka hivyo.ugumu unautengeneza wenyewe... baba atoe huduma za mtoto kama kawaida aendelee na maisha mengine... huo mda wa kukaa kuwaza nitakutana na kituko gani nyumbani... mda huo huo angeweza tumia kufikiria mambo ya maendeleo..... dont waste time to handle things ambazo mtu kaamua kufanya... pale ni influence ya mwanamke mwenyewe kaamua na akili zake ... ingekuwa ni nature , economc, diseases hapo sawa tungeshauri kingine...
Embu nipe hints, nianzie wapi?
Nilimtania jamaa nikamwambia au kakaangu sita kwa sita hujatulia akacheka tu akasema kwanini hakuliona hilo kwenye uchumba alione akiwa ndani? na mpaka kuzaa basi tu ana kero ambazo hata nashindwa nifanyeje hhh hapo nikakosa cha kusema kwakweli anadai wakwe walimletea sawadi na za mtoto wacha amtukane mume wake mi zawadi gani hii hapa ndo wameona zawadi hizi wacha awanunie week nzima mpaka wakaondoka
Khaa mijanamke mingine inatia hasira !!