Mwanamke huyu tumueleweje

Mwanamke huyu tumueleweje

Piga
chini huyo.

Kwamba,huyo mwanamke hafai hata kidogo. Kwamba hamtaki huyo mume na kwamba anajuta kwanini alichukuwa maamuzi ya kuolewa na huyo bro ilihali yupo alokampenda. Kwamba,Ilikuwa bahati mbaya kwa huyo mke kuolewa
na huyo bro. Kwamba,afuatiliwe huyo mke maana kuna anayempenda tangu kitambo
na hata huenda kabla ya huyo bro wako.
 
Piga chini huyo.

hafai huyo. hamtaki huyo mume. Ilikuwa bahati mbaya kwa huyo mke kuolewa na huyo bro. Afuatiliwe huyo mke maana kuna anayempenda tangu kitamba na hata huenda kabla ya huyo bro wako.
 
Huyo kaka kuna analoficha,muulizeni vizuri alimfanya nn mke wake,huyo mke sio kichaa!
 
Maandiko yanasema mke mwema hutoka kwa bwana Mungu, Ila huyu wa aina hii atoka kwa bwana shetani.... amuombe Mungu ampe njia ya kuepuka hilo coz inasemekana mtu hupewa mke au mume wa kufanana nae so apige goti sana huenda akabadilika na kuwa mke mwema au kama vipi afuate ushauri wa sisi wanan dunia ' PIGA CHINI'

Tokea aolewe kwa ndoa na mumewe hata miaka miwili haijapita, kabla alikua yuko poa tu kwenye uchumba japo yalikua mapenzi ya mabali wanakutana kipindi cha likizo au kutembeleana, baada ya kuoana mwanaume kafanya mbinu zote akamuhamishia mke mjini ili awe karibu na yeye na mke kamkuta kaka akiwa na nyumba zake nne tayari na magari mawili akaona isiwe shida akamunulia na mkewe gari ya kwake maana mke alidai anataka gari yake binafsi na ana choice ya gari sio hizo za jamaa.

Jamaa akanunua, wakajaliwa watoto mtoto mmoja, ila cha kushangaza hata kabla ya mimba mwanamke kila siku analalamia ooh, unakoroma, ooh hujui mapenzi, ooh nikiumwa unaacha ku make love na mimi kwa kisingizio unanihurumia.

Kwenda ukweni kwao mume dada anavaa nusu uchi jamaa kamuomba vaa hata vitenge au khanga sio heshima mke anamwambia kama hunitaki narudi kwetu, mkwe kaona aibu kampa kanga vaa hii mama, basi usiku kucha kalia anataka kuondoka hayo sio maisha, basi wamerudi kwao anahama chumba kila siku analala chumba kingine, hamsemeshi mumue, mume akitoka kwenda hata bar kukutana na friends wake atamfuata huko baa atamtukana na kurukia ngumi makucha mradi ugomvi na pete baada ya miezi mitatu toka wafunge ndoa aliivua kisingizio inambana, kwakifupi anakaribia mwaka hawezi kutoa penzi kwa mumewe mpaka mume ambake, huyu jamaa ni rafiki sana wa kakaangu katuomba ushauri afanye nini na kwasasa mwamke kahama chumba kabisaa, outing hua hakubali kutoka na mumewe wala kwenye harusi wala sherehe yeyote. Ushauri

ushauri wenu wadau huyu kaka afanye nini? Maana kajitahidi kufanya kila njia ku mplease mkewe lakini wapi, mshahara wa mke hua hawezi nunua hata nyaya na mume hua hamuulizi, mafuta ya gari ni mume anamuwekea, pesa ya saloon ni mume, nguo na matumizi yote ni mume ila huyo dada hata chumvi hawezi nunua kwa pesa yake mpaka mume arudi, ushauri watu wangu.
 
huyu kaka amwache tu ili ajifunze ila ahakikishe matumizi ya mtoto anampa huyo mtoto that all .... ndoa isiwe kero au ugonjwa ya nini kumlazimisha mtu kujiheshimu ... ili limwanamke pumbafu kabisa jinga sana....... unaamua kuamsha timbirwi tu ndani ya nyumba kuna binadamu uwepo wao wa kufikiri mfupi mno/..... kama hajui mapenzi alikubali ya nini kuolewa nae ...

Mhhh.. miss chagga sikuamini hata kidogo! Umesikia jamaa ana nyumba 4 na magari mawili ndo unashauri sista apigwe chini ili nyie mpate chance? Jamaa angekuwa kabwela mngesema 'huo ndio mzigo aliochagua muacheni afenao!'
 
Mhhh.. miss chagga sikuamini hata kidogo! Umesikia jamaa ana nyumba 4 na magari mawili ndo unashauri sista apigwe chini ili nyie mpate chance? Jamaa angekuwa kabwela mngesema 'huo ndio mzigo aliochagua muacheni afenao!'
kaka hakuna kitu duniani kama furaha ... hata kama angekuwa kabwela ushauri wangu usingebadilika hata kidogo
 
Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa uchumba.
Sijui kwenye uchumba wengine wanafanyaga nini.
Hayo yoote angeyaona huko,mavazi,tabia,matamshi na vingine vyoote.
Pole yake. Ndiye mke aliyemchagua na wako kwenye ndoa ushauri pekee ni wakae wayaongee ikishindikana basi tena hakuna namna hapo.
 
Kama mwanaume anampenda Sana Mke na kumuacha hawezi mi namshauri awe mbabe kwa mkewe bila kusahau kichapo cha kila Siku! Yaani ampige hadi ashindwe kufungua mdomo ila tu asiue! Kama hawezi amtafte mwanaume Wa kikurya amfundishe
 
Ukitaka kujua mahusiano ni challenge hebu ukasikilize na upande wa pili ndo utajua. Hapa unaweza kumlaumu huyo mkewe sana tu but if u take a minute to listed to her side of the story, you'll be amazed!

Siri ya kuharibika kwa huo uhusiano jamaa anayo na kama mwanamke alikubali kuolewa jamaa anaweza jua alimkubalia nini.
Sasa basi jamaa kaumizwa ndio ila yeye ni mwanaume na kiongozi. Mwambie aweke hurt aside achunguze kwa kutumia akili na si hisia ni wapi ufa ulianzia. Amtoe mkewe mbali sana na nyumbani, ambapo hakuna mazingira yenye kukumbushia kitu(Kwa kuwa jamaa anaonekana ako nazo, si vibaya wakaenda hata nje ya nchi- a place they've never been before).

Wazitafute hisia walizokuwa nazo na pia wafikiri sababu zinazowafanya kuwa wanandoa bora. Kama ndoa yao ilianzia pazuri nina uhakika watapata sababu tele za kuwa pamoja na kufanya maamuzi ya kuweka mapenzi mbele na changamoto za kimaisha nyuma. If they don't find a reason to be together, then we have a new set of problems!
 
Back
Top Bottom