Mwanamke Hatari!! Ukimgonga tu! lazima uugue..

Mwanamke Hatari!! Ukimgonga tu! lazima uugue..

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,276
Reaction score
17,739
Wakuu!
Haya ni maajabu kidogo, leo nimekutana na mwanamke mmoja anatokea Masasi, kuja Tandahimba kwa fundi (mganga wa kienyeji.)

kwa bahati nilifanikiwa kupiga nae stori na akanielezea kisa kilichomfanya aje Tandahimba kumtafuta fundi!

Inshort tatizo lake yeye ni kuwa aliolewa kama miaka 2 hivi iliyopita na katika ndoa yake ilitokea mtafaruku kati yake na mumewe kitu kilichopelekea wakatengana.

Sasa ajabu ni kuwa tokea atengane na huyo mumewe, kila mwanaume anayekutana nae kimwili(kusex nae) lazma apate homa kali, na akipona tu! Anakuwa siyo rizki tena!
Kesha fanya hivyo na zaidi ya wanaume 4 na wote wamekutwa na tatizo hilo, ndiyo akagundua kuwa tatizo ni yeye na anadhani amelogwa na mume wake wa kwanza!!

Ndiyo mjue wanawake wengine ni hatari, na dawa nyingine ni hatari..

Kuna kulogwa hadi kwenye mapenzi!
 
Ndo hivyo,Ndo maana wengine wanaokoka!me nilitaka kupiga risasi mnyama mmoja wa kike kabisa.
 
kuna mmoja pale makanya same ukipiga mzigo unalegea na ukishapoteza fahamu anaanza kukuchezea mbaya.
 
kuna mmoja pale makanya same ukipiga mzigo unalegea na ukishapoteza fahamu anaanza kukuchezea mbaya.

mkuu huyu wa makanya na naona anataka yeye kuchezea wanaume!
sasa huyu wa masasi yeye hataki amuumize mtu, na anataka sana kuolewa tena.
ndiyo maana kafanya maamuzi ya kuja kwa fundi.
 
Kwanini hukumshauri aachane na hayo mambooo!!

Anyway IMANI yake itamponya!

huku kwetu hiyo mambo ni ngumu kidogo shem wangu! ujue from Masasi to Tandahimba siyo karibu. katoka masasi kuja tandahimba kusaka tiba, tena kijijini ndani ndani kinoma, kijiji kinaitwa chikongo border ya mozambique
 
Yesu ni jibu la matatizo. Angetafuta kanisa la kilokole akaombewe na kumpokea Yesu Kristo maisha yake na mambo yake yangenyooka tu
 
hayo mambo yapo kuna mmoja miaka tisini mwanzoni mbulu kila mwanaume aliyepiga wiki haipiti anarest in peace.
 
Ungetupiamo kapicha sasa si tutamjuaje jamani!! Dah unaenda kupga unageuka le mutuz!! Dtnia ina matatizo sana hii
 
huku kwetu hiyo mambo ni ngumu kidogo shem wangu! ujue from Masasi to Tandahimba siyo karibu. katoka masasi kuja tandahimba kusaka tiba, tena kijijini ndani ndani kinoma, kijiji kinaitwa chikongo border ya mozambique


Mmmmh imani hizi jamani...Bwana Yesu nisaidie niyashinde majaribu
 
Hizi mambo noma sana bila mungu ningekuwa R.I.P dem ukiona anasita kukupa mzigo usiwe king'ang'a nizi inaweza kuwa unang'ang'a nia kitanzi.
 
Back
Top Bottom