Uanaume ni kung'ang'ana.Oyaaa mke amekukuta unagonga live bado unakataaa. Vijana wa hovyo bhana
Ni tabia za kimalaya malaya🐒😂Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri.
U
Jichunge sana unaweza chepukia kwenye hatari ukajutia maisha yako yote.Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri.
Ipo hivi asilimia kubwa ya wanaume wanaochepuka unakuta hana maelewano mazuri na mke wake au mchumba wake, pia viugomvi vya kila siku huleta kukinai penzi hata mwanamke awe mzuri kiasi gani, mwanaume anataka akili iwe katika mazingira ya amani muda woteWanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Kingine kwa mwanaume anaekunywa pombe ni rahisi sana kuchepuka maana pombe humletea tamaa sana kufanya tendo, tofauti na mwanaume asiekunywa kwahiyo inaweza kuepukika tuWanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Pia mwanaume hata uwe mchepukaji mahiri na unalala na kila mwanamke ila mkeo/mchumba akichepuka mara moja utaumia sana na kwa muda mrefu, sasa usiombe akubambe unachepuka nae akaanza malipizi utaugua kisaikolojia na kupata na preshaWanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Badili tabiaNdio maana na wanawake siku hizi nao wanachepuka tu
Wakirudi home wepeeeeesiiiiiiiiiii
No stress
Gazetted officer unafeli wapiHiyo ipo kwenye PGO ya ngapi?
Halafu kuchepuka au kuwa na wanawake wengi sio sifa kamili ya mwanaume ni kukengeuka tu na tamaa na ulafi na hizo ni sifa za fisiWanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Wanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! 😄Unajua kisasi cha Mwanamke mkuu
Mkuu unaonekana hujasoma vizuri historia, swala la mwanaume kua na mwanamke mmoja ni "invention" ambayo imekuja juzi tu, hapo kabla jamii karibu zote zilikua zina intertain polygamy na hakukua na tatizo lolote. Hata kwenye vitabu vitakatifu wafalme wa zamani walikua na mamia ya wanawake na bado Mungu alikua pamoja nao.Halafu kuchepuka au kuwa na wanawake wengi sio sifa kamili ya mwanaume ni kukengeuka tu na tamaa na ulafi na hizo ni sifa za fisi
Hamna maajabu yeyote ktk yote niliyoshuhudia niliyofanya mkitendwa bado sijaona kama kuna kisasi cha kutushtua wanaumeUnajua kisasi cha Mwanamke mkuu