Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.

Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri.

U
Ni tabia za kimalaya malaya🐒😂
 
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.

Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri.
Jichunge sana unaweza chepukia kwenye hatari ukajutia maisha yako yote.
 
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Ipo hivi asilimia kubwa ya wanaume wanaochepuka unakuta hana maelewano mazuri na mke wake au mchumba wake, pia viugomvi vya kila siku huleta kukinai penzi hata mwanamke awe mzuri kiasi gani, mwanaume anataka akili iwe katika mazingira ya amani muda wote
 
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Pia mwanaume hata uwe mchepukaji mahiri na unalala na kila mwanamke ila mkeo/mchumba akichepuka mara moja utaumia sana na kwa muda mrefu, sasa usiombe akubambe unachepuka nae akaanza malipizi utaugua kisaikolojia na kupata na presha
 
WhatsApp Image 2021-09-22 at 10.14.24.jpeg
 
Unajua kisasi cha Mwanamke mkuu
Wanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! 😄

Hicho kisasi cha mwanamke ni kipi? Mimi naona wanawake wanachitiwa kila siku na waume zao na ushahidi wanao na hamna kisasi chochote zaidi ya kulia lia tu na kukimbia kwa wazee/wachungaji nk kwenda kulalamika. Asilimia 95 ya wanawake hata mwanaume akichepuka hawafanyi chochote zaidi ya kulia na kulalamika na mwisho kusamehe.
 
Halafu kuchepuka au kuwa na wanawake wengi sio sifa kamili ya mwanaume ni kukengeuka tu na tamaa na ulafi na hizo ni sifa za fisi
Mkuu unaonekana hujasoma vizuri historia, swala la mwanaume kua na mwanamke mmoja ni "invention" ambayo imekuja juzi tu, hapo kabla jamii karibu zote zilikua zina intertain polygamy na hakukua na tatizo lolote. Hata kwenye vitabu vitakatifu wafalme wa zamani walikua na mamia ya wanawake na bado Mungu alikua pamoja nao.
 
Back
Top Bottom