Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Kuna demu nilidate nae ni liability
kila akiomba ela namwambia sina au nampa kidogo baada ya muda akakimbia nikafurahi sana ....

Na ilikua Bado kidg nianze kumshirikisha mambo yangu ya kiuchumi dah
Mkuu kuna pisi niliibwaga mwezivwa 6 aisee ile pisi ni zaidi ya kausha damu. Sikuwa naizingatia sana kwa sababu ni mpango wa kando ila ni zaidi ya jini. Haridhiki, hatosheki ukimpa 50K anataka laki ukimpa laki hakosi sababu ya kutaka zaidi. Na aibu hana kuna siku nilimwambia unatoka kumpa 50K ya kutumia alafu baada ya dakika chache anakuomba ya vocha. Nilivyompotezea alikuwa anapiga simu kama kaibiwa na kuomba misamaha daily.
 
Ukimpata mwanamke ambaye ni assets amini nakwambia hata siku zako za kuishi duniani zitaongezeka

NB: mwanamke assets siyo lazima awe bikra, inatokea tu pale mmekutana kwa wakati sahihi na muda sahihi na ni fungu lako, ni destiny imewakutanisha
Wazee wa bikra watakuja kukushambulia japo ulichosema ni kweli kabisa.

Mwanamke asset ni baraka sana kuwa nae.
 
Mkuu kuna pisi niliibwaga mwezivwa 6 aisee ile pisi ni zaidi ya kausha damu. Sikuwa naizingatia sana kwa sababu ni mpango wa kando ila ni zaidi ya jini. Haridhiki, hatosheki ukimpa 50K anataka laki ukimpa laki hakosi sababu ya kutaka zaidi. Na aibu hana kuna siku nilimwambia unatoka kumpa 50K ya kutumia alafu baada ya dakika chache anakuomba ya vocha. Nilivyompotezea alikuwa anapiga simu kama kaibiwa na kuomba misamaha daily.
Kwa hiyo umekoma au utarudia tena?
 
Back
Top Bottom