Mwanamke anayekupenda kweli

Wanawake tunashindwa kuwaelewa maana unaweza mpatia 100k then nikapata shida ghafla ya 2k nikakuomba,et unanuna na inakuuma kutoa angali chanzo cha kuipata hiyo100k ni mm # kweli tuishi na wanawake kwa akili
 
Siku hizi hakuna mwanamke wa aina hiyo. Wote ni wa tuma na ya kutolea.
Pole sana kijana kwa maswahibu hayo yanayowakuta πŸ˜…!!! Ukitongoza kipesa utawapata wadangaji na hayo ndio madhara yake...
 
Wanawake wako wengi sana,wanawajibika hata kuigiza upendo ili wapate wa kuwakojoza
 
siku nikimpata huyo nitaleta mrejesho ....
so far sijawah kutana na wa aina hiyo
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Pole sana kijana kwa maswahibu hayo yanayowakuta πŸ˜…!!! Ukitongoza kipesa utawapata wadangaji na hayo ndio madhara yake...
Kijana anajipa matumaini kutokana na wabebez anaotoka nao.
 
Kuna wanawake wengine hawatakiwi kupendwa hata kidogo, hivi mtu na akili yako utamuoa Kajala au mwanaye kweli? Wanawake wengine ni issue sana, wambea na hawana lolote lakini anakuganda ili tu akupate umtunze. Hasaidii chochote katika maisha yako bali kukutia hasara tu, wanawake dizaini hii wako wengi sana hapa Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…