Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Sawa mkuu



bado hujawaelewa wanawake wewe??
wengine wanajifanya wana wivu ili wafiche upuuzi wao
jaman uctufanyie ivoAta gabo menyew kacopy qa herzonAya mawazo sio yako...naomba umpe credit zake bwana gabo msanii wa bongo movie...maana naona umecopy na kupaste kutoka katika ukurasa wake wa fb umeweka apa bila kuonesha..kua umechukua kwake acha wizi wa idea za watu...mpe sifa yake kwani ungesema umekopy ungekuaje...

HaswaaaIshini nasi kwa akili sio kukariri
Naunga mkono hoja yakoSio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Uko sawaUmeandika fact, maana ulichokiandika ndvyo alivyo mdada flan.....yan kiukweli mwanamke akiwa hivi sio wa kumwacha kizembe!Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Ingekuwa vema km ungenyumbulisha na hizi stage, nisaidie km inawezekana ili nielewe zaidi!Hayo mapenzi yapo ila kwenye umri flani hivi, ukipita huo umri, priorities za wanawake zinabadilika, they dont listen to their hearts, its purely convenience now, wanataka watu stable (mentally and financially) hao sasa ndiyo matured women. Later in their lives, priorities zinabadilika, focus inakua kwa watoto, sisi akina baba tunatupwa kule (hapa ndipo tunapochepuka zaidi) baadae mambo yanatulia pande zote (ukijumlisha maradhi na mambo ya hapa na pale basi mnabaki kuwa pamoja)
ila kismsingi, mapenzi yana stage zifuatazo:
1. Forming;
2. Storming;
3. Norming; and
4. Performing
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Umeonaee bacyHaswaaa