Ata kusapoti, ata kutii na kukuheshimu, ata kushirikisha kwenye kila jambo lake, hatoweza kukufanyia kitu ambacho anajua yeye ukimfanyia kitamuumiza, atokufanya mpenzi tu bali utakuwa kama baba pia for sometimes, ataitaji kujua plans zako ili na yeye aplan kuendana na plans zako, yupo Tayar kukukosoa na kukulekebisha pale anapo ona unaenenda katika njia iliyo potofu, hatokkuonea aiba mbele za watu kwaajir ya hali uliyonayo( yupo tayar kukupigania na kuwa upande wako watu watakapo kushambulia), furaha yako ni furaha yake pia na uchungu wako ni uchungu wake pia, hato kupa sex kwa mafungu, atapenda kukuuliza maswali ya kumsahihisha kwenye kila kitu anachofanya, sio msiri,
Imetosha