Mwanamke anayekupenda kweli

Mwanamke anayekupenda kweli

Ishini nasi kwa akili sio kukariri
Of course lazima tutumie akili, mwanamme anayejitambua akili hawezi ishi na mwanamke asiye na maendeleo. Yaani mwanamke anaamka tu asubuhi hajichambi na kufuta shahawa alizomwagiwa na mumewe usiku anashinda kavaa khanga bila chupi akipita nyumba hadi nyumba kupiga story za umbea, hapigi mswaki, haogi mpaka usiku, muda wote yuko mitaani anasuka umbea na kuchunguza maisha ya majirani zake, huyu lazima utaishi naye kwa akili tu....hamna namna.
 
Kijana anajipa matumaini kutokana na wabebez anaotoka nao.
Eeh ukiwaendea kipesa utaipata ya fresh bora mwanamke akukatae tu live kwa kuwa huna ngawira kuliko kuforce kuwa nae kwa kulipia kama Luku 😅😅😅!

Ile feeling tu kwamba sipendwi hapa na hela ikikata ntaachwa naona isiwe tabu wacha nitafte pisi inayonielewa ili inipe maisha bila stress!
 
Of course lazima tutumie akili, mwanamme anayejitambua akili hawezi ishi na mwanamke asiye na maendeleo. Yaani mwanamke anaamka tu asubuhi hajichambi na kufuta shahawa alizomwagiwa na mumewe usiku anashinda kavaa khanga bila chupi akipita nyumba hadi nyumba kupiga story za umbea, hapigi mswaki, haogi mpaka usiku, muda wote yuko mitaani anasuka umbea na kuchunguza maisha ya majirani zake, huyu lazima utaishi naye kwa akili tu....hamna namna.
Huyo mwanamke aniepuke in Jesus name,,can i hear Amen pls!!!
 
Umempata wa kufanana nae, Ni chaguo lako
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.

Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.

Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.

Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.

Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.

Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
TAFUTA HELA.....wanawake wa dizaini hii hakuna
 
1. Hawezi kukuomba pesa ana aibu
2. Hukutafuta hata kama wewe usipomtafuta
3. Hakosi nauli ya kukufata popote pale ulipo, yupo tayari hata kumkopa kaka ake issue ni aje kukuona kama unamuhitaji
4. Haogopi kukuzalia hata kama huna pesa za kumtunza, anachohitaji ni muda wako
5. Hakufichi kitu, kila anachokutana nacho kwenye maisha yake hukuambia
6. Yuko tayari kuishi na wewe hata maisha ya kimaskini cha msingi umpe muda wako na umjali kwa kumpa imani njema yenye kujenga future yenu
7. Shida zako anachukulia kama zake
8. Hupenda ndugu zako
9. Mara nyingi kila unachomwambia hakupingi
10. Yuko tayari kufanya lolote sababu yako
11. Hukuhamasisha kufanya maendeleo na sio kutumia pesa hovyo
12. Haogopi kukutambulisha popote pale iwe kwa marafiki zake au ndugu zake
13. Hukuhamasisha kumcha MUNGU
14. Mfano ukimwambia tuachane, lazima akuulize, maswali haya

Nimekukosea nini? Kwanini? Naomba nisamehe kama nilikukwaza
Umemaliza popcorn zangu asee
 
Huyo mwanamke aniepuke in Jesus name,,can i hear Amen pls!!!
Amen🙏.....Kwa kweli kuna baadhi ya kina dada wanakatisha tamaa hata ya kuongea nao. Unakuta mdada hana la kufanya mjini lakini anang'ang'ana tu kubaki mjini ajipatie mume wa mtu wa kumuweka mjini, atamlisha mauza uza mpaka jamaa anakuja acha mkewe na kuishi na mdangaji atakayekuja kunyanyasa watoto wake aendapo kazini. Wanawake siku hizi ni wachafu na wachawi mno.
 
Hahahaha wanawake wa mjini wamelemazwa na wanaume wajinga 😅 wanaona wana stahili kulipiwa kila kitu wao wabandike kucha na kubadili style kitandani tu!

Swala la kujishughulisha hapana wao wapange kageto walundikane jioni wakawinde wanaume kwenye ma bar makubwa mjini 😅
 
Yaani nashindwa kuwaelewa hawa kina dada.
 
Back
Top Bottom