Mwanamke anayekupenda kweli

Mwanamke anayekupenda kweli

Hayo mapenzi yapo ila kwenye umri flani hivi, ukipita huo umri, priorities za wanawake zinabadilika, they dont listen to their hearts, its purely convenience now, wanataka watu stable (mentally and financially) hao sasa ndiyo matured women. Later in their lives, priorities zinabadilika, focus inakua kwa watoto, sisi akina baba tunatupwa kule (hapa ndipo tunapochepuka zaidi) baadae mambo yanatulia pande zote (ukijumlisha maradhi na mambo ya hapa na pale basi mnabaki kuwa pamoja)

ila kismsingi, mapenzi yana stage zifuatazo:
1. Forming;
Hapa mahusiano ndiyo yanaanzishwa mambo yanakua moto moto

2. Storming;
Hapa mambo yanaanza kuyumba, mmekwishazoena kila mtu anaonyesha rangi zake

3. Norming; and
Baada ya misuguano ya hapa na pale kila mtu anajua nafasi yake na wajibu wake kwenye mahusiano

4. Performing
Mahusiano sasa yanatumika kuzalisha na kuwa na mafanikio
Mkuu naomba nihifadhi hii kwa msaada wa baadae
 
Uko sahihi ila mapenzi hayana formula
 
Wanawake wa mapenzi ya kweli awako dunia hii kwa sasa,ata km unaona mkeo anakupenda sana jua anapenda pesa zako na maisha mazr uliyonayo ukitaka kuamini hili ishiwa then ujionee huo upendo utavopotea na kugeuka sumu ndani ya nyumba.
 
Napenda analysis, na ninapenda kuelewa mambo mbalimbali kwa kina.
Lakin, when it comes to babes, nashindwa kufunga jalada la upelelezi.
Kila siku napata new hypothesis.
 
Kila binadamu huyazumgumzia mapenzi kadri yanavyomtokea . Unaemwona mwanamke mchungu ni kwa sababu umekutana na mchungu na anaemwona mwanamke apple ni kwa sababu amekutana na apple .
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.

Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.

Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.

Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.

Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.

Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
Ukiona unamwelewa ujue,hujamweelewa bado...na ukianza kuona humwelewi anataka nini,ujue umeanza kumwelewa maaana hawaeleweki hao...
 
Habari za leo wakuu,

Sio masihara ni swali ambalo najiulizaga kila siku achana na hawa wanaotamani pesa zetu, waleti zetu, viduku vyetu, panki, rasta zetu, mabuti yetu ya Jojo, six park zetu na mavazi yetu.

Utamtambuaje mwanamke anayekupenda ambaye unajua huyu hata nikiumwa hawezi kunikimbia au hata nikiishiwa pesa na kuwa masikini ghafla hawezi kunikimbia.

Wakuu tusicheze na huu uzi ni muhimu sana.
 
Wanawake hatupendi, tunapendwa na kutii. Nyie wanaume acheni ujinga wa kupendwa
Sasa kama hampendi kwanini baadhi ya wanawake huwalilia wanaume fulani.
Wewe mwenyewe hapo ulipo kuna mkaka unamdhimia hatari hutaki kumwambia. Sasa hampendi kivipi.

Mimi naamini kama unaweza kupenda vitu visivyo na uhai kama nguo, viatu au mikufu basi unaweza kumpenda na mwanadamu mwenzako pia na kutaka uwe naye karibu muda wote huku ukiongea na kucheza naye.

Labda uniambie hivi wanawake wengi wametendwa kwenye mapenzi nakupelekea mioyo yao kuchoka kupenda.
 
Aah, mkuu kabla sijakwambia chochote, vipi kwanza kuhusu carbon dioxide kuwa Mafuta umepata lita ngap za mafuta hadi sasa.
 
Back
Top Bottom