EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Embu kuwa serious huku tupo jukwaa la mahusiano tujadili mada inayohusu MahusianoAah, mkuu kabla sijakwambia chochote, vipi kwanza kuhusu carbon dioxide kuwa Mafuta umepata lita ngap za mafuta hadi sasa.
Nakuwa mtiifu kwa mtu anayejielewa na sio nungayembeUmeandika kakitu muhimu. Embu kunywa savanna.
Ila kaswali kidogo, ni kweli ww ni mtiifu?
Mleta mada anataka kukimbia jukumu la kupenda!Unakunywa nini tena vile? niviherehere vyetu tu kupenda ila kupenda ni kazi ya wanaume.
Wanawake hata tukiwa na furaha tunalia, hafu kumlilia mtu haimaanishi kitu kinapendwa ni vile tuko emotional zaidi. Wanawake kupenda hamna tuna mood swings nyingi Sana, sasa hivi wakipenda hichi baada ya mda wakikinaiSasa kama hampendi kwanini baadhi ya wanawake huwalilia wanaume fulani.
Wewe mwenyewe hapo ulipo kuna mkaka unamdhimia hatari hutaki kumwambia. Sasa hampendi kivipi. Mimi naamini kama unaweza kupenda vitu visivyo na uhai kama nguo, viatu au mikufu basi unaweza kumpenda na mwanadamu mwenzako pia na kutaka uwe naye karibu muda wote huku ukiongea na kucheza naye. Labda uniambie hivi wanawake wengi wametendwa kwenye mapenzi nakupelekea mioyo yao kuchoka kupenda.
Airtel ipo ttcl ilianza kusumbua wanaifungia fungia nikawaambia waifunge kabisa.naomba kujua ile TTCL mwsho 60
na ile airtel mwisho 440 ziko wapi?
nipigie
Kha!!, Cariha tupe somoWanawake hatupendi, tunapendwa na kutii. Nyie wanaume acheni ujinga wa kupendwa
Kweli kabisa mkuuUkiona mwanamke akuombi hela mpaka umpe anakupa sex unavyokuw na uhitaji anakubali kuzaa na we usimuache huyo mwanamk
Ata kusapoti, ata kutii na kukuheshimu, ata kushirikisha kwenye kila jambo lake, hatoweza kukufanyia kitu ambacho anajua yeye ukimfanyia kitamuumiza, atokufanya mpenzi tu bali utakuwa kama baba pia for sometimes, ataitaji kujua plans zako ili na yeye aplan kuendana na plans zako, yupo Tayar kukukosoa na kukulekebisha pale anapo ona unaenenda katika njia iliyo potofu, hatokkuonea aiba mbele za watu kwaajir ya hali uliyonayo( yupo tayar kukupigania na kuwa upande wako watu watakapo kushambulia), furaha yako ni furaha yake pia na uchungu wako ni uchungu wake pia, hato kupa sex kwa mafungu, atapenda kukuuliza maswali ya kumsahihisha kwenye kila kitu anachofanya, sio msiri,
Imetosha
Aliesema mwalimu wenu ni kipofu yupo sahihi!Wanawake hata tukiwa na furaha tunalia, hafu kumlilia mtu haimaanishi kitu kinapendwa ni vile tuko emotional zaidi. Wanawake kupenda hamna tuna mood swings nyingi Sana, sasa hivi wakipenda hichi baada ya mda wakikinai
Unajua kuwa unafiki huwa haudumu? Awez igiza yote hayo kwa mda mrefuAnaeza fanya hayo yote kwa kuigiza ili atafune hela zako tu.... Wanawake ni viumbe havieleweki kabisaaaaa...
Ila ukiwa kapuku na akafanya hvo huyo atakuwa kakupenda kweli...
Unajua kuwa unafiki huwa haudumu? Awez igiza yote hayo kwa mda mrefu