Mkuu naomba nihifadhi hii kwa msaada wa baadaeHayo mapenzi yapo ila kwenye umri flani hivi, ukipita huo umri, priorities za wanawake zinabadilika, they dont listen to their hearts, its purely convenience now, wanataka watu stable (mentally and financially) hao sasa ndiyo matured women. Later in their lives, priorities zinabadilika, focus inakua kwa watoto, sisi akina baba tunatupwa kule (hapa ndipo tunapochepuka zaidi) baadae mambo yanatulia pande zote (ukijumlisha maradhi na mambo ya hapa na pale basi mnabaki kuwa pamoja)
ila kismsingi, mapenzi yana stage zifuatazo:
1. Forming;
Hapa mahusiano ndiyo yanaanzishwa mambo yanakua moto moto
2. Storming;
Hapa mambo yanaanza kuyumba, mmekwishazoena kila mtu anaonyesha rangi zake
3. Norming; and
Baada ya misuguano ya hapa na pale kila mtu anajua nafasi yake na wajibu wake kwenye mahusiano
4. Performing
Mahusiano sasa yanatumika kuzalisha na kuwa na mafanikio
Naunga mkono hojaIngekuwa vema km ungenyumbulisha na hizi stage, nisaidie km inawezekana ili nielewe zaidi!
Bila shakamkuu naomba nihifadhi hii kwa msaada wa baadae
Uoga huoNyie ni viumbe tofauti mno sjawahi kuwaamini hata kwa utan utani!![emoji126][emoji126][emoji126]
TanganyikaHao uliowaongelea ni wanawake wa nchi ganii!!?
Labda za ku googleIshini nasi kwa akili sio kukariri
Nikwel mkuu pia nayule anaekukubal akat anakuna hunaki2 unashida lakin hawa wakupata baada ya kufanikiwa cwamin hata kidogonadhani mwanamke anayekupenda kweli ni mama tu
Ukiona unamwelewa ujue,hujamweelewa bado...na ukianza kuona humwelewi anataka nini,ujue umeanza kumwelewa maaana hawaeleweki hao...Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
Wanawake hatupendi, tunapendwa na kutii. Nyie wanaume acheni ujinga wa kupendwa
Sasa kama hampendi kwanini baadhi ya wanawake huwalilia wanaume fulani.Wanawake hatupendi, tunapendwa na kutii. Nyie wanaume acheni ujinga wa kupendwa
Umeandika kakitu muhimu. Embu kunywa savanna.Wanawake hatupendi, tunapendwa na kutii. Nyie wanaume acheni ujinga wa kupendwa