Mwanamke anayekupenda kweli

Nyie ni viumbe tofauti mno sjawahi kuwaamini hata kwa utan utani!![emoji126][emoji126][emoji126]
 
Ata gabo menyew kacopy qa herzon [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Mmmmmh nipite zangu tu maana hawa viumbeee nii shiiida
 
Mwanamke km hali ya hewa tu, mara mvua mara kimbunga catrina mara jua
 
Hayo mapenzi yapo ila kwenye umri flani hivi, ukipita huo umri, priorities za wanawake zinabadilika, they dont listen to their hearts, its purely convenience now, wanataka watu stable (mentally and financially) hao sasa ndiyo matured women. Later in their lives, priorities zinabadilika, focus inakua kwa watoto, sisi akina baba tunatupwa kule (hapa ndipo tunapochepuka zaidi) baadae mambo yanatulia pande zote (ukijumlisha maradhi na mambo ya hapa na pale basi mnabaki kuwa pamoja)

ila kismsingi, mapenzi yana stage zifuatazo:
1. Forming;
Hapa mahusiano ndiyo yanaanzishwa mambo yanakua moto moto

2. Storming;
Hapa mambo yanaanza kuyumba, mmekwishazoena kila mtu anaonyesha rangi zake

3. Norming; and
Baada ya misuguano ya hapa na pale kila mtu anajua nafasi yake na wajibu wake kwenye mahusiano

4. Performing
Mahusiano sasa yanatumika kuzalisha na kuwa na mafanikio
 
Kajipange upya mjomba, hii promo kuna baadhi ya vitendea kazi umevikosa.
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Naunga mkono hoja yako[emoji106]Uko sawa
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Umeandika fact, maana ulichokiandika ndvyo alivyo mdada flan.....yan kiukweli mwanamke akiwa hivi sio wa kumwacha kizembe!
 
Wanawake wa namna hiyo hawapo siku hizi
 
Ndio hapa kuna ukweli kabsa mwanamke akpenda kapenda kweli anajitoa kwa kila kitu kwako, lakini sio wote
 
Ingekuwa vema km ungenyumbulisha na hizi stage, nisaidie km inawezekana ili nielewe zaidi!
 
k

Kweliii......kabisa naungaaa mkono wanao bisha hawajawahi kutoa mtu bikraa...wanawake walio tolea bikraa wengii wanakua na tabia hizooo,sasa nyie tembeeni na mazombiiii mfee achenii kubisha dalili za upendo wa mwanamke ni apo juu...kama una bishaa unatembea mtu alie kubuuuuuuuuu ktk mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…