Mwanamke anayejituma au mtafutaji......

issue sio wanawake wanapata sh ngapi ..ila tunazitumiaje? Bora ununue vitu nyumbani mle kulikoni kumwaga milioni saluni kila jmosi

Tatizo wanawake mnapenda kushindana by nature, unakuta mtu na kamshahara ka laki kadhaa au m 1 anataka kushindana kupendeza na mashost bila kujua huyo shost ana vyanzo gan vya pesa,,, hapo ndo shida yenu inatokea, hapa kibaruan kuna vitoto vya kishua full kushindana magari na kupendeza na viatu sijui CL wenyewe wanaita, unakuta wenzangu na mimi nao wanataka kwenda nao sawa na mwisho wa siku wanagombana na wenzi wao,, wengine wana nyumba za ulithi kariakoo na sinza kodi kibao zinaingia bila jasho so mwache ashinde saloon as kipato kinaruhusu,, wewe wakina mimi tulizana ujipange
 
kwa masaaa mangapi maana kesho yake akiamka kila kitu si kwishnei?

Nashkuru mke wangu ni mrembo naturally bila kuhitaji bajeti kubwa ivo ya saluni (mwelewa)
hapo sasa alafu wanajifanya eti familia ni jukumu la mume...au ndo ile methali kisicho rizki hakiliki?
 
tatizo wanawake mnapenda kushindana by nature, unakuta mtu na kamshahara ka laki kadhaa au m 1 anataka kushindana kupendeza na mashost bila kujua huyo shost ana vyanzo gan vya pesa,,, hapo ndo shida yenu inatokea, hapa kibaruan kuna vitoto vya kishua full kushindana magari na kupendeza na viatu sijui cl wenyewe wanaita, unakuta wenzangu na mimi nao wanataka kwenda nao sawa na mwisho wa siku wanagombana na wenzi wao,, wengine wana nyumba za ulithi kariakoo na sinza kodi kibao zinaingia bila jasho so mwache ashinde saloon as kipato kinaruhusu,, wewe wakina mimi tulizana ujipange
kweli mkuu....mimi nimenyoa kipara hapa
 
Hapo sasa miye mfagizi ofisini kwetu mwanamke meneja wa kampuni fulani (alianza na u-supervisor pengine). Mshahara wake 900,000 take home...........Miye ndiyo kwanza nimegonga 150,000, nyumbani nina kamradi ka kiosk kanaingiza 3,000 faida kwa siku ambayo ni 90,000 kwa mwezi......Ukijumlisha na mshahara ndio inafika 240,000. Wakati huohuo mke wangu akipiga dili moja kwa mwezi anaondoka na 400,000 jumlisha na mshahara inakuwa 1,300,000.

Gap kama la 900,000.......halafu bado unataka kwenye 240,000 yangu unichinje hela ya saluni, makeup, less wigi khaaa!! Kusema ukweli hapo mimi nitaprovide dushelele tu material things tuchangie in propotion

AHAHAHHAHAHHHAHAH hapo kwenye red mtani umeua!hiyo tu basi ndo unaweza kuprovide!mengine ah!
 
Injinia Nsiande nimepeda saaana mtazamo wako

nimemsoma kamusi an am like "he! hili linawezekana kweli" na by the way anaishije na ndugu zake watatu nyumbani? siku hizi hayo mambo yapo kweli? wanafanya nini?

Ila binafsi, labda pengine tupo huru sana, kwetu siye we share kila kitu hakuna mwenye 'chake' per se....na kila jukumu kila mmoja ana feel responsible nalo...so si ndio usawa huu wajameni?
hayo mambo ya kutegemea mtu mmoja atunze familia yamepitwa na wakati.. enzi zile wamama wengi walikuwa wa nyumbani, hawana kipato lakini siku hizi tumesoma, kila siku tunaenda kazini ma-housegirl 3 nyumba moja halafu unataka matumizi yote yafanywe na mume, sasa wewe kwa nini unaenda job? huo mshahara wako ni kwa ajili gani?
kitu tu kinachotakiwa ni kwamba kila mtu awe responsible kwa familia, siyo sababu mama anatoa basi baba ajiweke kando, au sababu baba yupo basi mama ujiweke kando
 
Aisee hapana!!! Nilale na mishumaa iwake moto kisa nakomoa mtu?

Na hao watu wazima ndugu zake pia umewashindisha njaa na dada anapewa mikate tu ?!

Anyways tuko tofauti kabisa that's extreme really

Mimi na mume wangu hatujagawana jukumu lolote wala hatuna joint account,

Ila it depends anayetoka jumamosi na vitu vimeisha ndiye anunuaye, anayesafiri mikoani ananunua vya mikoani

Ukipata nje trip, lazima tuleteane zawadi,

Ila chakula cha mbwa na nyama ananunua mwenyewe,

Watoto wote tunakatwa kiwango sawa kuingia kwenye account zao kwaajili ya shule

Mafuta ya gari ofisi inatoa ,matibabu sote tunapata so tumeupgrade kadi moja,

Kila mtu ananunua nguo zake na saloni kila mmoja anajilipia ,

Our cardinal rule is not to live beyond our means
Angalau wewe una sound realistic zaidi! Mara kwa mara huwa namkumbusha make wangu kuwa ajaribu kuishi maisha ambayo leo au kesho 'nikiitwa mbele za haki' asitetereke sana!
 
AHAHAHHAHAHHHAHAH hapo kwenye red mtani umeua!hiyo tu basi ndo unaweza kuprovide!mengine ah!

Tena hiyo nayo-provide imeenda extra miles......kuliko material things.
Tena mara mojamoja nazuka na jogoo na kilo tano za mchele......mambo ya less wigi wapi na wapi.....au mtani na wewe unapiga kope za mchina na kucha za mamba?
 
yaani kaka siku ukija saluni zetu huku mtaani utazimia ..hapo sio kwamba mtu anaenda kwenye party wala nini
siku ana party harusi au kitchen party sasa weeee laki tatu kuleeee!
Si heri tu ungempa mumeo amalizie kibanda kule kibada
na hizo hela mtu anatoa bila hata kuomba discount, lol!
 
unajua ma swtlo Kaizer ishu hapa sio kwamba tunakataa kuwajibika kweenye kuhudumia familia bali ni ile mume hata kujali kuwa mke yupo kwa mapenzi tu siku ukaingia mfukoni japo ka laki wife na wewe leo nenda saluni. kumbuka sio kwamba wife ana hali mbaya kifedha ama si kwamba hawez kuitumia fedha yake kwa kuendea saluni bali tunataka kuona upendo usio na gharama hapa.
 
Last edited by a moderator:
unajua ma swtlo Kaizer ishu hapa sio kwamba tunakataa kuwajibika kweenye kuhudumia familia bali ni ile mume hata kujali kuwa mke yupo kwa mapenzi tu siku ukaingia mfukoni japo ka laki wife na wewe leo nenda saluni. kumbuka sio kwamba wife ana hali mbaya kifedha ama si kwamba hawez kuitumia fedha yake kwa kuendea saluni bali tunataka kuona upendo usio na gharama hapa.

sweetlo laki moja kama siku hiyo simenti imeisha saiti ingetosha mifuko ngapi?

Nionavyo hapa kuna ile hali kwamba mwanaume anapaswa atoe japo kidogo 'kuuenzi utamaduni'' but hey! utamaduni huo ndo ushapitwa na wakati ivo!
 
kweli mkuu....mimi nimenyoa kipara hapa
Smile kama unapenda nywele huna haja ya kunyoa kipara kisa gharama za saluni. mimi mara chache sana huwa naenda saluni, napenda kuhudumia nywele zangu mwenyewe nyumbani, na zinakuwa nzuri mno.
siku nikitaka kusuka kuna wasusi wengi tu ni cheap na wanasuka vizuri.
hela zangu zina mambo mengi sana ya muhimu ya kufanyia, siyo kushindana na mtu umeenda saluni ya laki tatu. na sijawahi kushangaliwa kwamba nyewe hazijapendeza, lol!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa aombe aonekane choka mbaya na mashosti?
Halafu home mume anaenda sokoni kununua nyanya na tangawizi eti?
Hizi ndoa hizi?

Hhahaahahaha Smile leo umeamkia pande zipi
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa aombe aonekane choka mbaya na mashosti?
Halafu home mume anaenda sokoni kununua nyanya na tangawizi eti?
Hizi ndoa hizi?
hapo si wanasema hata hizo za saluni ni mume ndo anatakiwa kuzitoa?
ampe na hela ya lunch anapoenda job......................................
ndo anaona mume anatimiza majukumu yake, lol!
 
smile kama unapenda nywele huna haja ya kunyoa kipara kisa gharama za saluni. Mimi mara chache sana huwa naenda saluni, napenda kuhudumia nywele zangu mwenyewe nyumbani, na zinakuwa nzuri mno.
Siku nikitaka kusuka kuna wasusi wengi tu ni cheap na wanasuka vizuri.
Hela zangu zina mambo mengi sana ya muhimu ya kufanyia, siyo kushindana na mtu umeenda saluni ya laki tatu. Na sijawahi kushangaliwa kwamba nyewe hazijapendeza, lol!
nimetania bwana nimesuka same tu you wasusi ni wengi cheap ...najilike kuliko chochote my dear uhuhuuu siwezi kunyoa labda nanihiii
 
Katika maisha ya sasa aki provide mmoja tu kwa kweli ni kazi sana na mzigo else awe na chanzo kizuri sana cha pesa. Hata hivo Ndahani tunapoongelea mume kuwa responsible, sidhani kuwa inamaanisha kuwa yeye sorely awe responsible. Hili swala la ndoa na familia ni team work. Ila bado nabaki na msimamo kuwa mwanamke ana nguvu na uwezo mkubwa sana kujenga familia...

Ndio maana mara nyingi mke akiwa ni mfujaji na hana focus maendeleo huja at a lower pace kwa familia husika (whether kaajiriwa or not). But mwanaume akiwa ndio mfujaji but mke ana focus maendeleo walau ni raisi kuyasongesha. That is what I meant kwa hio statemet ya 'Mwanamke kuwa na nafasi kubwa'.

Hio ya kuwa average performer hio pia ni lack of commitment ya mhusika, aidha sababu ni mtegezi or ndio alivo...

Nakubaliana kabisa na wewe....familia ni team work ili mambo yaende. Isipokuwa maendeleo kama mama analegeza mabega yatakuja at a slower pace kuliko watu wanavyotaka tufikirie. Lakini ukiangalia sana, siku hizi kina dada wengi wanaamini kutoka kwao kimaisha sio katika kazi...ni katika kuolewa na mwanaume mwenye mapesa mengi. Nachojiuliza siku zote ni kuwa kweli hivyo ndivyo ilivyo? Au tunaendelea kdanganyana tu siku ziende
 
Back
Top Bottom