Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaaaaaaa, na watoto wako? unawaletea mama mwingine? watu wanabaki ndoani kwa mambo mengi, ni sadaka muhimu sana kwa wote wawilimi ningemrudisha tu.
ha haaaaaaaaa, na watoto wako? unawaletea mama mwingine? watu wanabaki ndoani kwa mambo mengi, ni sadaka muhimu sana kwa wote wawilimi ningemrudisha tu.
haya ni mawazo ya wamama ambao wapo mguu ndani mguu nje kwenye ndoa zao. kama upo pale kustay huwezi waza hivyo (sikusemi wewe jodoki , nawasema wale wanaofanya hivyo)
Sasa nimejua kwanini ndoa nyingi siku hizi huvunjika ni kutokana na majibu niliuyoyaona hapa kwa wakaka wengi...achen kukwepa majukumu wala msipindishe ukweli hapa jukumu la kumtunza mkeo ni lako wewe mwanaume..hata mwanamke awe na kipato kiasi gani lakini zile service azipatazo toka kwako ni muhim zaidi na anazithamini sana..so kuwen waangalifu sana msijitetee tu hapa ila jua wajibu wako kwa mkeo.
Kazi ipo.
Wanawake wenyewe wa sasa mmekuwa ma-CEO, tena wengine wa makampuni yenu wenyewe.
Mnatutisha wame zenu kuwanunulia SIMLA wakati nyie level zenu zishakuwa Givennchy, DKNY, au Dior.
Tupeni uhuru na hakika ya kisaikolojia kwanza ili tuweze kwenda sambamba