VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
na je,kama mwanamke kakurubuni kwa kuchezea sehemu zake nawe uko nae coz sexual ni hisia,then ukashawishika out mind,apo law in define vip?
Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.
Kama mwanamke atafanya mbwembwe zake na kumwamsha jamaa kiasi cha kumudu mchezo mpaka dakika 90 basi huyo hajabakwa bali amelainishwa tu mpaka akaingia LINE mwenyewe.Ni kweli, Mwanaume anaweza sana kubakwa na mwanamke.
Mwanamke anaweza kumfanya mbwembwe za kumsimamisha mtalimbo wa huyo jamaa na kujisevia kiulaini.
Kama mwanamke atafanya mbwembwe zake na kumwamsha jamaa kiasi cha kumudu mchezo mpaka dakika 90 basi huyo hajabakwa bali amelainishwa tu mpaka akaingia LINE mwenyewe.
Nakubaliana na mchango wako lakini neno RAPE nadhani ni kali mno ikilinganishwa ba tukio lenyewe. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba mwanamke anaweza kutumia mbinu zozote zilizo ndani ya uwezo wake ili kumshawishi 'mwanaume' aamke. Wakati wa tendo sidhani kana inakuwa ni ubakaji tena. Inawezekana kisheria imewekwa hivyo ili kuzuia kabisa matukio ya aina hiyo lakini in reallity hainiingii akilini kusikia mwanamme amebakwa.Hizo uzisikiazo nyingi huwa ni case za statutory rape na si forcible rape.
Absolutely!You can't rape the willing.
Nakubaliana na mchango wako lakini neno RAPE nadhani ni kali mno ikilinganishwa ba tukio lenyewe. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba mwanamke anaweza kutumia mbinu zozote zilizo ndani ya uwezo wake ili kumshawishi 'mwanaume' aamke. Wakati wa tendo sidhani kana inakuwa ni ubakaji tena. Inawezekana kisheria imewekwa hivyo ili kuzuia kabisa matukio ya aina hiyo lakini in reallity hainiingii akilini kusikia mwanamme amebakwa.
Kimaumbile haiwezekani kwa mwanamke kumbaka mwanamme.
Kielelezo gani kitaonyesha kuwa PENETRATION ilikuwepo manake below 18yrs hata RISASI hazitoki?kwa sheria za tanzania mwanamme zaidi ya miaka 18 hawezi bakwa sababu kijiti kinasimama chenyewe.
Kwa under 18, hiyo ni ubakaji na anashtakiwa pna jamhuri
hata kwa mwanamke ubakaji ni hadi wahakiki kulikuwa na penetration kama ni above 18.
Ni kweli, Mwanaume anaweza sana kubakwa na mwanamke.
Mwanamke anaweza kumfanya mbwembwe za kumsimamisha mtalimbo wa huyo jamaa na kujisevia kiulaini.
yap, ndio wanasheria wanasema ivo.