Mwanamke anapokuwa mkatili zaidi ya Simba!!

mamito ni mm mwaya,unajua kuna watu humu ndani wameniboa saana,nimeamua kuwa kauzu nowdayz,sory my love kama nitakukwaza!
Hujanikwaza mpnz,
Ila cjawahi kuona una hacra hivi mamito,
Hawa wapotezee tuu maana huwajui hawakujui ni kibodi tu zinasulubiwa,
Ukiona mtu anazingua potezea endelea na maisha mpnz tena kwa raha zako.
 
hujanikwaza mpnz,ila cjawahi kuona una hacra hivi mamito,hawa wapotezee tuu maana huwajui hawakujui ni kibodi tu zinasulubiwa,ukiona mtu anazingua potezea endelea na maisha mpnz tena kwa raha zako.
thenK u my dear!!! Ubarikiwe kwa kunitia moyo mchana wa leo,ungekua karibu yangu ningekupiga lunch ya nguvy!! Thenk u!!!!
 
Back
Top Bottom