Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Hii imekuwa kasumba ya wadada walio wengi mnakuwa na uhusiano let say miezi 4 au 6.

Hujamfahamu zaidi anaanza kukueleza lazima muende mkajitamburishe. Jamani unajua kwenda kwa wazazi ni hatua kubwa sana.

Anataka akupeleka haraka haraka.
 
Ulitaka umtafune kama jojo... utamu ukiisha umtupe?
Acheni kuchuma mikosi ya maisha yenu kwa mikono yenu wenyewe

Aise kuna vitu vya msingi lazima mtu ujiridhishe.
 
Magonjwa ya kurithi

Ha ha Kuna mambo huwa yananipa raha sana. Kujua kama kuna magonjwa ya kurithi kuna maana ikiwa tu hamjajamiana. Niwajuavyo vijana wa siku hizi, binti akikuambia ukajitambulishe, ujue juisi imeonjwa tayari..
 
kaka acha uoga nenda ukiona hivyo ujue uko peke yako for the time being mngekuwa wengi angekwambia nakaa masaki kumbe anakaa tandale we nenda tu kujitambulisha sio kulipa mahari wala sio kuoa ni mwanzo wa safari acha uoga na shukuru Mungu
 
Ulitaka ukajitambulishe baada ya miaka mingapi?
 
Ulitaka ukajitambulishe baada ya miaka mingapi?

Hapa sio suala la miaka. Jambo kubwa ni kufahamiana. Unajua kukutana kimjini mjini!!!?
 
Ss ulitaka muishie vichochoron? Just incase ht mtot wa watu akipat tatzo ukiw nae unapajua kwao,ni jambo la kawaida bas wengine wanaona ndo km kaambiwa nenda kaoe,ni vizur ukijua mpz wako anaish wap ktk mazngira gan na vitu km hivo...... labda km haupo serious nae unatak kumega ile kisela na hy ni dalili ya uoga
 
Kwa visingizio hamjambo, mbona kugegeda unagegeda tu hata bila ya kufahamu hayo unayotaka kuyafahamu?
 
Wewe nenda watu tumepeleka mpaka posa tulivyoonja tu nduki ya kufa mtu mpaka leo wanajiuliza mwanamme yupo wapi huko.
 
hahaaaaaaaa usichekeshe walonuna

Aise unacheka. Kwann? It is important. Maana unakuta mtu anaugonjwa wa kurithi anataja kukupeleka haraka haraka lazima ujiridhishe kwanza na uwe na maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom