Wakuu leteni uzoefu
Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
Mkifungia serikalini ndio dhambi inafutika?hapana haiwezekani chini ya jua,labda mfungie serikalini
Huyu anafurahisha genge ukitembelea thread zake utaona mfano hii hapaTAFUTA MKE WAKO UOE SIO MKE WA MTU
yeye ameuliza kama anaweza kufunga ndoa, swala la dhambi ni lake yeye na Mungu wake.Mkifungia serikalini ndio dhambi inafutika?
Khantwe hujambo lakini ?Mkifungia serikalini ndio dhambi inafutika?
yeah vyeti ni vya serikaliSerikali ndo mtoa vyeti vya ndoa
Ijue nguvu ya KKama mume wake wa kwanza alishafariki anaweza kuolewa na kufunga ndoa. Kama walitengana tu, huyo ni mke wa mtu unaweza kufungwa... Kwa kuoa mke wa mtu. Na ni kwa nini uoe mke wa mtu ilihali wanawake wamejaa chungu nzima? Wakati mwingine wanaume tunafeli sana
Aliyekwambia Wachaga matapeli ni nani??Wakuu leteni uzoefu
Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
Nimeuliza dhambi kwa kuwa suala la kuoa au kuolewa baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika mwongozo wake unatoka kwenye biblia. Kibinadamu mbona ndoa nyingi tu zinavunjika kwa talaka hata kama zimefungwa kanisaniyeye ameuliza kama anaweza kufunga ndoa, swala la dhambi ni lake yeye na Mungu wake.
Kweli baba mkuu unasema. but ananipenda sana
Sijambo mambo...Khantwe hujambo lakini ?
Kwa mujibu wa Biblia Wewe na yeye wote mtakuwa mnafanya uzinzi.
hapana haiwezekani chini ya jua,labda mfungie serikalini