Mwanamke ambaye alishafunga ndoa kanisani anaweza kuolewa tena kanisani?

tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,590
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,590 2,000
Hebu fafanua vizuri mkuu. Si wameishaachana na mume wake wa zamani?? Sasa kwanini asiolewa tena? Mwacheni ampelekee mume mpya mbunye ahangaike nayo.
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Kwa walokole inawezekana lakini lazima kwanza awe na talaka ya serikali kama hana basi basi jiandae kesi ya kutosha
Kawaida mbona ila ungekuwa unaenda funga tena kkkt kamwe akuna kitu hiko rejea ndoa ya emmanuel mbasha na mkewe wemeachana kwa talaka ya mahakama mwanamke ameolewa tena safi na kazaa nw
 
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2018
Messages
1,623
Points
2,000
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2018
1,623 2,000
watu wameshanogewa huku ooh...
 
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2018
Messages
1,623
Points
2,000
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2018
1,623 2,000
ukristo sidhani kama unatalaka mzee kikubwa huyo ni mke wa mtu na kama umeshanogewa pole mzee na pia hapo haujengi familia yako kama unemkuta na watoto bali unaingilia familia ya mtu mwingine ambae ameshaijenga na mwanamke kama huyo kugombana ni 85% kila kukicha maana atakufanya wewe uwe unamsahaulisha machungu yake kumbuka ni ndoa yako ya kwanza yeye ame sha experience mzee kwahiyo kukuwashia moto kwake ni rahisi sana kama kuchomoa betri kwenye lori la msamvu mzee take care....!!

unataka kucheza ngoma usiyoijua kaa tuu pembeni kuisikilizia kama ni utamu umekunogea wewe kaa pembeni na kama ni mwanamke anakushauri ufunge ndoa uwiii sikushauri kaka yangu au mdau mwenzangu kaa mbali you are in a Chernobyl zone even small radiation can cause cancer or other organs to loose their efficiency it's better to run run... bye bye
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
6,268
Points
2,000
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
6,268 2,000
Kama mume wake wa kwanza alishafariki anaweza kuolewa na kufunga ndoa. Kama walitengana tu, huyo ni mke wa mtu unaweza kufungwa... Kwa kuoa mke wa mtu. Na ni kwa nini uoe mke wa mtu ilihali wanawake wamejaa chungu nzima? Wakati mwingine wanaume tunafeli sana
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,017
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,017 2,000
Kama mume wake wa kwanza alishafariki anaweza kuolewa na kufunga ndoa. Kama walitengana tu, huyo ni mke wa mtu unaweza kufungwa... Kwa kuoa mke wa mtu. Na ni kwa nini uoe mke wa mtu ilihali wanawake wamejaa chungu nzima? Wakati mwingine wanaume tunafeli sana
Ijue nguvu ya K
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
8,850
Points
2,000
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
8,850 2,000
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
Aliyekwambia Wachaga matapeli ni nani??
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,994
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,994 2,000
yeye ameuliza kama anaweza kufunga ndoa, swala la dhambi ni lake yeye na Mungu wake.
Nimeuliza dhambi kwa kuwa suala la kuoa au kuolewa baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika mwongozo wake unatoka kwenye biblia. Kibinadamu mbona ndoa nyingi tu zinavunjika kwa talaka hata kama zimefungwa kanisani
 
T

ThaGreatman

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Messages
416
Points
1,000
T

ThaGreatman

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2018
416 1,000
Nahisi wewe ni mwanamke,umekuja kwa gear ya kujifanya mwanaume ili kupoteza tension!

Anyway,maamuzi ya maisha yako kwa kiasi kikubwa yapo mikononi mwako,ukisubiri sana wengine wakuamulie mambo sensitive kama haya,utajikuta dakika 90 zimeisha na mechi umepoteza!

Wasalimie sana makao makuu ya serikali,hahahaaa!
 
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Messages
2,593
Points
2,000
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2008
2,593 2,000
Kwa mujibu wa Biblia Wewe na yeye wote mtakuwa mnafanya uzinzi.
  • Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini. Mathayo 5:31-32
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
299
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
299 250
Basini ndugu zangu kwa maoni haya ya wengi.nimewasikiliza na kuwapendeni sana tena mno. Na yeye muhusika ninae hapa tumekubaliana.

Ombi kwenu wa dada humu ndani.

Naomba mmoja wenu ambaye hajaolewa ajitokeza pm tuyasongeshe maisha niko postive sana remember life is how you make it.
Kamshahara kangu ni kadogo but kanatutosha usihofu hatakm una mtoto1 tu sina tabu naye umri wangu miaka 30 hivo nikimpata 40 kushuka down mpk 15 poa tuu krbuni wadada naishi salasala kilima hewa. Muwe huru mkristu hata km wewe ni mislamu mpagani njoo tu. Yesu anawapenda anaokoa.
 

Forum statistics

Threads 1,326,620
Members 509,543
Posts 32,228,534
Top