Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,216
- 4,043
Contraceptive ni Mauaji ya halaiki.Kama ndivyo hata anaetumia Contraceptives pia ni muuaji
Contraceptive ni Mauaji ya halaiki.Kama ndivyo hata anaetumia Contraceptives pia ni muuaji
Hii ni Tabia ya kike kufatilia mambo ya mwanaume mwenzako nyie kule Oman au Bangladeshi ndio mapungaGari umemiliki lini mkuu?
Mbona Kama chai hii?
Mimba za ovyo ni za maskini na watu wasio na akili tu .Ndio maana una stress kumbe huzalishi mpk unatafuta mwenye mimbaa yako umuoe
Pole sana yaani wanawake 8 na Hakuna aliewahi kukwambia anajisikia kichefuchefu 🤣🤣🤣🤣
Sorry for that unaonekana una stress kama sio huna uwezo wa kubebesha ujauzito basi wakipata mimba zako wanatoa
Suala la Abortion halihusianii na nuksi wewe…. Ingekuwa hivyo Hii dunia isingekuwa na watu wenye maendeleo asilimia 98% wanawake wengi wameshafanya abortion hata hizo P2 ni abortion kila njia unayotumia kuzuia watoto wasitungwe ni abortion
Wewe endelea . Hii ni Information tu . Yakikukuta unaludiAcha imani potof
HahahaI will be short
ukitaka nuksi, tembea na mwanamke aliye toa mimba, yani amna kitu kitaenda, kama ni business kila siku mambo magumu, ukiajiliwa ndo kabisa, life utoboi
wanawake wengi walio toa mimba ndo wanaongoza kwa nuksi mjini,
Kama unabisha test zali, kama una demu ukipiga tu napata shida huliza story yake atakuwa history za mimba.
abortions ina deep ya fate mbaya.
mimi mwanamke aliye toa Mimba nikipiga, napata stress siku 3 na wengine nikiwa nao lazima shida zinipige, zakutosha
Hayo mambo ni kweli kuna wanawake wana nuksiMimi nimewai kudate na mwanamke tena nimemkuta Bikra akiwa chuo mwaka wa tatu,
Nilifanikiwa kuitoa Ile bikra, ila huwezi amini ndani ya mahusiano ya miaka miwili hakuna mafanikio yoyote ambayo nilipata.
Kila siku nilikuwa mtu wa kusolve matatizo Leo hiki kesho kile, sikutaka kumuacha kwasababu niliona Hana makosa na nimemkuta Bikra.
Balaa lilikuwa linakuja wakati tunaacha mambo yangu yananyooka ila nilirudiana nae tu changamoto haziishi.
Mara ya MWISHO namaliza kumgonga tu napokea simu babu Yako kafariki.
Nikiwa nae ndani gari nimepaki nje basi nikitoka nakuta kibaka kaiba site mirror au kavunja...
Sasa wakuu kumbe haya mambo yapo au ulikuwa mtazamo wangu tu?
Baba yake na huyu bint ni Askari polisi.
😆😆😆😆😆😆 usinifokee in Jesus Name 🙏🏾Wewe endelea . Hii ni Information tu . Yakikukuta unaludi