Mwanamke akuhudumiae nawe muhudumie

Mwanamke akuhudumiae nawe muhudumie

Mie sioni kama ni kigezo eti mwanamke kukupa penzi ndio ujicommit kutoa huduma since hata mwanamke nae utaaaamu anupata

Labda kama ulikuwa unaongelea wanaojiuza

Mwanaume anao wajibu wa kutoa hizo huduma ila sio kwasababu uliyotoa hapo
Mi uwaga sitoi pesa afta kugegeda na pesa utoa ata siku nyingine
 
Salaam wana jukwaa,
Mimi mwanaume mwenzenu naomba Leo niwasisitizie jambo.

MWANAMKE anayekuhudumia na kukupa penzi haidhuru ukiita mahaba namaanisha akuvuliae nguo hata akiwa tajiri ni sharti kama mwanaume unaejitambua umpe pesa ya sabuni, mafuta na hata pesa ya chupi kama wewe umeshindwa sana.

Sipendi tabia ya wanaume wenzangu kuacha hawa wanawake vivi hivi pasipo kuwapa chochote ukizingatia umekuwa nae usiku kucha ama hata kwa dakika chache. Kijijini unampa ata viazi, mihogo nk

Tuwe waungwana
Sasa ukiwa unatoa pesa ya sabun kila baada ya tendo utakua unamfanya mwanamke au kahaba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom