1. Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau paoja na kuwa aesubiri miaka kumi.
2. Atajifanya ni mwenye huzuni ila umwulize, akwambie ni kwa ajili yako;
3. Atakufanyia kila kilicho kizuri just kukufanya umkubali
4. ..........
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke aliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza
Mi kuna mmoja kaniganda balaa nimeamua kubadili mpaka namba ya simu, email, ID ya FB na nimehama mtaa.
na context ya hii signature imebeba uzito wa ajabu. unaweza kuitafsiri kwa mapana na marefu. Amensgnature yako tu kaka
thax.
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza
rose we umemuelewa mwenzangu au kam vipi nieleweshe basi na miesgnature yako tu kaka
thax.
Wanaume jaman hamna jema, mkipendwa tabu oooh king'ang'anizi,watu wakiwachakachua na kuwachuna ooohh hajatulia,hana upendo wa kweli,mnataka nn nyie viumbe?!!!