Mwanamke akikupenda kuchepuka sahau kabisa

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,870
2,180
Mwanamke akipenda huwa kapenda kweli hili neno siyo uongo kabisa!

Wengi wanaolia wake zao au wapenzi wao ni viruka njia kiukweli hawajapendwa, kuna kitu walichonacho ni sumaku kiufupi kimemvuta. Hapo inaweza kuwa ni chambii mfukoni, haishangazi mwanamke ukampa kila kitu lakini bado akachepuka na muuza mihogo mtaani.

Pia kitu kingine tunachofeli wanaume tunaaminishwa kwamba ukimridhisha kwenye tendo la ndoa hachomoki kwako. Hakuna kitu kama hicho, hata umkojoze lile ni tendo tu muda mfupi. Ukipendwa hata kimoja chali yupo nawe muda wote atakuganda.

USHAURI WA MWISHO
Tafuta kupendwa ila hakikisha huo upendo ni wa kweli, isiwe vitu ulivyonavyo. Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa dhati neno kuchepuka sahau kabisa!

Wanawake ni mashahidi katika hili, ila wanaojielewa. Maana wengine viruka njia kabla hata miaka 18 mpaka treni lishampitia huyo mh!

Wazee wa alkasusu na supu ya pweza hampendwi. Mwanamke hakupendi kisa kumnyandua, mnaliwa mifukoni hahaha!
 
Kupenda huanza na sababu, ila, ukija kuitafakari hio sababu, huioni.

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na hayana kanuni...

Nilijua foreplay ni kitu cha kuanza. Kumbe, kuna muda muda mwingine ni kitu cha kumalizia.

Upendo ni mtaji. Ukiwekeza kwa akupendae, utavuna maradufu.
 
Una miaka mingapi
 
🤔🤔🤔 sasa tutafute pesa au tutafute kupendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom