Mwanamke akikupenda kuchepuka sahau kabisa

Mwanamke akikupenda kuchepuka sahau kabisa

Tumwambie au tumwache ulimwengu umfundishe?
 
Na hii inasababishwa na kuwa Wanawake wetu wengi ni tegemezi,hawana uwezo wa kujitegemea! Umasikini mbaya sana!!

Aah! Wapi unaweza hata ukajichanganya kwa waziri wa afya na bado ukaliwa kichwa [emoji276]
 
Usije ukakaa ukakiamini kiumbe kinachoitwa "BIN-ADAM"...😂😂

Ishu ya kuchepukiwa is far beyond kupendwa... Anayechepuka si kwamba hampendi mwanandoa wake,,, haya maneno sijui UKIMPENDA MTU HUWEZI KUMSALITI ni PROPAGANDA tu,,,, ishu ya Ngono inategemea mazingira na Muda tu.... Mihemuko inaweza kuzalisha kitu ambacho hakitegemewi .....

Yaani Mwanamke tu akiwa na FURAHA saaana au na HUZUNI saaana lolote linaweza KUTOKEA 😂😂.. Wanawake wameumbiwa HURUMA ujue 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom