Mwanamke akikupenda kuchepuka sahau kabisa

Siku zote binadamu hutamani asichokuwa nacho. Ukimpea pesa atatamani de liborlo FC , ukimpea de liborlo atatamani gari, ukimpea gari atatamani nyumba.....ni mwendo wa tamaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanadamu pia ana tabia ya kukizoea na kukinai kitu

Juzi kati hapa kwenye uzi mmoja warembo wawili walisema wamewachoka waume zao kitandani eti mtu yuleyule kila siku mara sijui anafanya kwa mazoea tu na lawama nyingine kibao

Hivyo wanaunga mkono kumegwa nje wajionee mautundu mengine mapya katika kupelekewa moto

Mwisho wa siku mwanamke hata akupende vipi LAZIMA umegewe tu
 
Mapenzi yapo ulaya huku Africa ni wajasiriamali wa mapenzi!,ukipewa namba tu simu imeharibika,umeme umeisha,hana bando,hujakaa sawa haoni siku zake!
Huyo ni mwizi kama wengine tu hajapenda
 
Mwanadamu pia ana tabia ya kukizoea na kukinai kitu

Juzi kati hapa kwenye uzi mmoja warembo wawili walisema wamewachoka waume zao kitandani eti mtu yuleyule kila siku mara sijui anafanya kwa mazoea tu na lawama nyingine kibao

Hivyo wanaunga mkono kumegwa nje wajionee mautundu mengine mapya katika kupelekewa moto

Mwisho wa siku mwanamke hata akupende vipi LAZIMA umegewe tu
Ukiona hivyo hao ni vichaa mkuu maana kuwa kichaa sio lazima utembee uchi mtaani

Ndoa sio kunyanduana hivyo ni vitu vidogo sana ndio maana sio kila unaefanya nae mapenzi ni mpenzi wako au mpo kimahusiiano
 
Ndoa sio kunyanduana tu lakini mnyanduo una nafasi yake kwenye kuimarisha ndoa
 
Mwanamke akipenda huwa kapenda kweli hili neno siyo uongo kabisa!

Wengi wanaolia wake zao au wapenzi wao ni viruka njia kiukweli hawajapendwa, kuna kitu walichonacho ni sumaku kiufupi kimemvuta. Hapo inaweza kuwa ni chambii mfukoni, haishangazi mwanamke ukampa kila kitu lakini bado akachepuka na muuza mihogo mtaani.

Pia kitu kingine tunachofeli wanaume tunaaminishwa kwamba ukimridhisha kwenye tendo la ndoa hachomoki kwako. Hakuna kitu kama hicho, hata umkojoze lile ni tendo tu muda mfupi. Ukipendwa hata kimoja chali yupo nawe muda wote atakuganda.

USHAURI WA MWISHO
Tafuta kupendwa ila hakikisha huo upendo ni wa kweli, isiwe vitu ulivyonavyo. Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa dhati neno kuchepuka sahau kabisa!

Wanawake ni mashahidi katika hili, ila wanaojielewa. Maana wengine viruka njia kabla hata miaka 18 mpaka treni lishampitia huyo mh!

Wazee wa alkasusu na supu ya pweza hampendwi. Mwanamke hakupendi kisa kumnyandua, mnaliwa mifukoni hahaha!
Unaweza kuwa cake lakini bado walaji wakata kula chapati au vitumbua.. kama sio pilau kwenye sherehe hii ya mapenzi htakuwi kuamini mtu 100%.. the only choice we have is to live in the moment sababu kesho yetu hatuijui

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akipenda huwa kapenda kweli hili neno siyo uongo kabisa!

Wengi wanaolia wake zao au wapenzi wao ni viruka njia kiukweli hawajapendwa, kuna kitu walichonacho ni sumaku kiufupi kimemvuta. Hapo inaweza kuwa ni chambii mfukoni, haishangazi mwanamke ukampa kila kitu lakini bado akachepuka na muuza mihogo mtaani.

Pia kitu kingine tunachofeli wanaume tunaaminishwa kwamba ukimridhisha kwenye tendo la ndoa hachomoki kwako. Hakuna kitu kama hicho, hata umkojoze lile ni tendo tu muda mfupi. Ukipendwa hata kimoja chali yupo nawe muda wote atakuganda.

USHAURI WA MWISHO
Tafuta kupendwa ila hakikisha huo upendo ni wa kweli, isiwe vitu ulivyonavyo. Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa dhati neno kuchepuka sahau kabisa!

Wanawake ni mashahidi katika hili, ila wanaojielewa. Maana wengine viruka njia kabla hata miaka 18 mpaka treni lishampitia huyo mh!

Wazee wa alkasusu na supu ya pweza hampendwi. Mwanamke hakupendi kisa kumnyandua, mnaliwa mifukoni hahaha!
.
Hawa wa chips yai hawana guarantee mkuu... Unaweza kupendwa lakini ukasaidiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom