Mwanamke akiendesha baiskeli

if not now

Senior Member
Mar 4, 2017
186
171
Kassim 20161010_215435.jpg
 
Kwa kweli mnaweza,vp wewe unajua kuendesha huo usafiri?
Sijawahi kabisa! hata juzi nilienda hospitali goti linauma, nikapelekwa kitengo cha mazoezi moja wapo ya zoezi wakaniambia haya lala halafu fanya kama unaendesha baiskeli!! looooh! nikawaaambia mie sijawahi ndio wananielekeza, hahahahahah
 
Ohoooo!!!pole mkuu hapo sasa inabidi hata ukiwa nyumbani ujitahidi kupiga hako kazoezi.
 
Back
Top Bottom