Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,516
Nilikuambia si kila staili ni rafiki kwako ukanibishia... Ona sasa magoti yanakuumbua.Sijawahi kabisa! hata juzi nilienda hospitali goti linauma, nikapelekwa kitengo cha mazoezi moja wapo ya zoezi wakaniambia haya lala halafu fanya kama unaendesha baiskeli!! looooh! nikawaaambia mie sijawahi ndio wananielekeza, hahahahahah
Si uweke password na wewe??hakuna kitu kinaleta stress kama kusahahu simu home duh
Hio sekta nimestaafu kidogo. Mpaka pasaka itarudi
si wanagomaga usiweke babu.. sasa huweki ukisahahu dadeki mpaka mkojo unagonga gongaSi uweke password na wewe??
Unaniaibisha ujue...
Basi punguza au acha kabisa kuchepuka...si wanagomaga usiweke babu.. sasa huweki ukisahahu dadeki mpaka mkojo unagonga gonga
Nadhani Roho Mtakatifu ana lugha moja...Hapo kwenye kunena kwa lugha huwa pananishangaza, maana kuna kama aina fulani ya maneno wanaonena wanapita mule mule.
ha haa sawa babu nitafanya hivyoo.. babu punguza na wewe utakuja kufia kifuani ujueBasi punguza au acha kabisa kuchepuka...
Mi niko radhi nisahau kuvaa boxer kuliko kuisahau simu nyumbani... pamoja na kuwa ina ma password kibao kiasi cha nikilewa mengine nayasahau.
Basi punguza au acha kabisa kuchepuka...
Mi niko radhi nisahau kuvaa boxer kuliko kuisahau simu nyumbani... pamoja na kuwa ina ma password kibao kiasi cha nikilewa mengine nayasahau.
Ilikuwa hospitali kwenye mazoezi sio kule kwingine hahahahahahaNilikuambia si kila staili ni rafiki kwako ukanibishia... Ona sasa magoti yanakuumbua.
Staili nyingine muwachie wenye vimiili vyao bhana... khaaa!!
Ifanyie kazi basi mamii...[emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda hii comment
Mi siamini mpaka niguse...[emoji12] [emoji12]Ilikuwa hospitali kwenye mazoezi sio kule kwingine hahahahahaha
nenda tabora vijijini huko kaliua mpaka Leo wanaendeshaSio tanzania hii ya sasa.Bodaboda zimejaa tele kwa nini baiskeli?