Haha kumbe huwa unanimiss ee
Hahahaa! Nikajua umeikumbuka ile baskeli yake aliyokuja nayo siku ileee kule mlimani.
AmeinHahahaa! Nikajua umeikumbuka ile baskeli yake aliyokuja nayo siku ileee kule mlimani.
Hao wanaoshinda kwenye maombi waache tu wanatubu.
Hahahaa! Nikajua umeikumbuka ile baskeli yake aliyokuja nayo siku ileee kule mlimani.
Hao wanaoshinda kwenye maombi waache tu wanatubu.
Hahahaa! Ila niliipenda bure aiseeIla ile baskeli ni noma, mlima inapanda kama boxer BM 150.
HATA usjalOngezeni hata ka wiki kamoja basi ili tuwamiss vizuri
HahahaaaaHATA usjal
Nenda Shinyanga au Geita ndo ujuwe......bodaboda wanapanga na baiskeli lain moja.......alaf mabint wengi wa kisukuma baiskel zinawabikiri ,wanaanza kuendesha baiskel wangali wadogo.....Sio tanzania hii ya sasa.Bodaboda zimejaa tele kwa nini baiskeli?
Kabisa. Ila sina uhakika kama atakuwa nayo ile baskeli mana alisema ana mpango wa kuiuza.
Kabisa yaaniAtatuambia, ile baskeli asiiuze, ni bora aiweke hata kwenye makumbusho.
Sana aisee, hasa kwenye hii sekta ya picha picha!