sasa picha za nini jamani mama wa watu anajifungua! ulitaka uone anavyojifungua! tusitake kuona kila kitu jamani mweeee!Sioni ukweli hapo! Unaweza post picha kutumia simu JF
sasa picha za nini jamani mama wa watu anajifungua! ulitaka uone anavyojifungua! tusitake kuona kila kitu jamani mweeee!Sioni ukweli hapo! Unaweza post picha kutumia simu JF
Hawa wakina mama wakati mwingine hawazingatii siku za kujifungua..Ina maana alikuwa hajui kwamba huo ni mwezi wa kujifungua???
Cha msingi ni mtoto amezaliwa salama...Sijui atamuita jina gani
pole yake, Boss wangu pole kwa hilo maana kushuhudia mama akijifungua usiombe ikukute, mie nilishuhudia yn mpaka naogopa hata kumzaa huyo mtoto,
Ni kweli lakini saa nyingine wamama huwa tunashauriana visivyo. Wapo wanaoshauriwa kuwa ukianza kusikia kitu kama uchungu usikimbilie hospital uache uchanganye kwanza ........sasa kama katika process ya kukuacha uchanganye na hospital iko mbali yanawezakutokea mengine.
pili huwezi jua pengine hata yeye mwenyewe siku zake zilikuwa hazijatimia (ingawaje huwa tunashauriwa kujiandaa kila mara hasa siku za mwishono) so kimetokea kama shtukizo na mambo yakawa mambo.
Au pengine kuna kilichomshtua na kumfanya mtoto atamani kuwahi duniani.
Angekuwa anasafirishwa kwa machela au wheelchair na manesi au dakitari basi tungewezailaumu serikali au manesi kwa kutomsaidia mapema.
pole mama na mwanao. Mungu awalinde
Tunaomba source na picha za tukio!
Umepata lunch kweli mkuu? Kwani tofauti ya 'source' na 'chanzo' ni nini? Picha ya mama akijifungua unaitaka ya nini?
Groan!
Umeona eh Bhokem.....yaani huwa tunadanganyika na experiences za watu bila kutambua kuwa tunatofautiana.................wengine hata dakika kumi hamalizi uchungu unapoanza sasa kama akisema asubirie si ndo yanamkumba ya kumkumba??.lol, umenichekesha sana. Mie niliambiwa na wamama wa ofcn kwangu, usiwahi hosp, subiri uchungu uchanganye ndipo uende, yalinikuta ya kunikuta, pre contraction signs zikaana, maji yakamwagika, uchungu hakuna mie nasubiri uchungu, siku ya tatu naenda Clinic Doc ananiambia mama ulitaka kumuua mtoto au? Moja kwa moja kwenye operation
ni fedheha belinda. Kujifungua huku wengine wanakushangaa utafikiri muvi la x. Sidhani kama utafurahia...nitafurahi nikijifungua angani au kwenye treni.
Hapa nilipo ni saa moja asubuhi! Ungeuliza breakfast ningejua una akili. Picha hiyo huwezi fahamu nataka itumia kushinikiza wanasiasa watengeneze hospital kule Kivukoni na kuwa na mobile ambulance.
Groan! Kichwa kikubwa umejaza kamasi
Atamwita tu jina aliloliandaa,maana hii imekuwa tu kama bahati mbaya!Hawa wakina mama wakati mwingine hawazingatii siku za kujifungua..Ina maana alikuwa hajui kwamba huo ni mwezi wa kujifungua???
Cha msingi ni mtoto amezaliwa salama...Sijui atamuita jina gani
ni fedheha belinda. Kujifungua huku wengine wanakushangaa utafikiri muvi la x. Sidhani kama utafurahia.
lol
Rev naona uko kazini....................... unataka kushusha upako??
Mkuu wangu mpaka Shehe yahya aongee ndio watapeleka hudma......Ni fedheha kwa taifa hili lenye miaka 50 baada ya uhuru hatujali afya ya mama na mtoto!
Ukiangalia Demographic Health Survey wanaripoti maternal mortality rate iko 578 kwa akina mama 100,000 na ni 46% tu ya wanawake wanapata uangalizi wakati wa kujifungua, afya ya mama na mtoto bado mgogolo. U know better than I do.
Mkuu wangu mpaka Shehe yahya aongee ndio watapeleka hudma......
BTW karibu Nai