Kukaa kimya ni adhabu toshaUmenikumbusha mzee flan alikuwa pirot wa British airways na alikuwa na route za Nairobi to UK. Basi akapata mke mkikuyu na akazaa nae watoto kadhaa. Baada ya muda akabadilishiwa hizo route zao ikawa haji sana Kenya, kuna kipindi akakaa kama mwaka na nusu hajaja na siku aliporudi kakuta mkikuyu wake yuko na kichanga tayari...
Kilichofuata mzee wala hakumind akawa tu kimya bila kusema kitu. Kesho yake mama akasepa bila kuaga.
Kumudu kukaa kimya ni jambo jingineKukaa kimya ni adhabu tosha