Kumbuka kasema alifunga pazia na sio dirishaMadirisha ya vioo ya kuslide,yaani unafunga,ila lock mpaka ufungie ndani mkuu
Akili zikishahamia kichwa cha chini hakuna unachofikiria zaid za kujigijigiCjajua huwa tunajiamini nini hadi kuchukua uamuzi huo.
AiseeAkili zikishahamia kichwa cha chini hakuna unachofikiria zaid za kujigijigi
Unataka ukaitumie kwa mumeo mkuu?Hivi mwanamke nae akimfumania mumewe akitumia adhabu hii inakuwaje?
Umenikumbusha mzee flan alikuwa pirot wa British airways na alikuwa na route za Nairobi to UK. Basi akapata mke mkikuyu na akazaa nae watoto kadhaa. Baada ya muda akabadilishiwa hizo route zao ikawa haji sana Kenya, kuna kipindi akakaa kama mwaka na nusu hajaja na siku aliporudi kakuta mkikuyu wake yuko na kichanga tayari...Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu
Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi
Akaenda pale dirishani ili alifunge ili mbu wasiingie ndani
Ghafla amekuta mechi inaendelea
Akawambia akiwa pale dirishani " malizeni basi mnipe nafasi nami nimekuja nipumzike"
Kilichofuata ni mwanaume kuvaa fasta,wala jamaa hakutaka afanye fujo,baada ya jamaa kuingia ndani kamkuta mke wake analia
Akamwambia wala usilie
Jamaa akaenda kuoga,kisha akarudi kulala
Mwanamke amekaa sebuleni,baadae ametoweka kusikojulikana
Ila wanaume mnatafutaga kifo wenyewe
Hivi inaingia akilini kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzio,hamuogopi kufa?