Mwanamke afungasha baada ya mume kukaa kimya

Mwanamke afungasha baada ya mume kukaa kimya

Kukaa kimya huwa kunamtesa mwanamke kisaikolojia. Tena haswa kama umemfuma halafu ukakaa kimya. Yaan kama vile haupo, atachukua kila kitu na kukimbia hapo hapo maana mbali na aibu na kujutia atakuwa anashindwa kuwaza ni nn utaenda kufanya
Duh!
 
Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
 
Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Binafsi cjaona kosa LA mwanaume zaid ya kumpongeza kwa hatua alio ifanya kuwapa muda .
 
Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Kwa mujibu wa maelezo yake,ilikuwa asije leo, kuna jamaa alikuwa na private car,na wanafahamiana,ndo kamwambia naenda huko kwenu muda huu,si twende,jamaa akasema poa, kwa vile nitakuwa nimesave nauli twende,ndo kafika akakutana na hilo balaa
 
Ila madirisha ya kufunga ukiwa kwa nje sijayaona siku nyingiii
 
Kwaiyo adi leo uyo mwanamke aja rudi au
Mpaka sasa hivi huyo mwanamke hajulikani alipo,na bahati mbaya kaacha na sim yake chumbani,nimemshauri jamaa asikague hiyo sim asije akafa mapema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mselele jamaa kakanyanga matope
 
Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Kwangu ni kwangu. Kwann nitoe taarifa? Nakuja muda ninaotaka , naondoka muda ninaotaka.
Hakuna wa kunizuia. So lazima nipige ziara za kushtukiza kama kawaida. Nikikukuta ovyo kama hivo hatua kali zinachukuliwa hapo hapo.
 
yawezekana wote walikuwa wakifanya mambo ya kike, kifupi kakuta wanawake wawili ndani..bora waende tu
 
Mkuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
KUWASILISHA NINI????kuna kitu alikutuma sasa ndo unawasilsiha? je mlikuwa mnaandika wote uzi sasa ukachomoka kidogo na baadhi ya nondo sasa umekuta kishapost kwahiyo ndo umeziweka? AU ULITAKA TU UONEKANI UMECHANGIA...are u lonely?
 
Back
Top Bottom