Mwanamfalme wa Saudi Arabia ni Saddam Hussein mpya mashariki ya kati


Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
5,019
Likes
4,499
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
5,019 4,499 280
Mwanzoni aliitwa Mwanamageuzi na wamagharibi mpaka akaruhusu wanawake waendeshe magari na vivyo hivyo akiwa Mfalme tutegemee mageuzi zaidi ndani ya Saudia na eneo lote la ghuba.
Karuhusu ujenzi wa makanisa kule kumamae
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,335
Likes
986
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,335 986 280
Ukubali ukatae hao ndio watunza uilsam na mambo yake yote,huu ni ukweli mchungu.
Mfalme wa Saud Arabia huitwa "The Custodian of the two holy mosques" ukitafsiri Kiswahili ni "Mlinzi wa Misikiti miwili Mitakatifu (Mecca na Madina)".
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,335
Likes
986
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,335 986 280
Watunza uislam kivipi? Kwamba Saudia ikiyumba Uislam utayumba? Hebu acha porojo wewe
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,640
Likes
10,047
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,640 10,047 280
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?
Asante kwa kuwaelewesha maana wanajifanya wanafiki kutokuelewa nilichokimaanisha.
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,502
Likes
1,395
Points
280
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,502 1,395 280
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?

Rudia comment yako wewe acha porojo, umesema kutunza Uislam na mambo yake yote, unajua maana ya ulichokiandika hasa hapo kwenye bold?

Punguza mihemko, ungekuwa umeandika ulichokisema hapo juu wala nisinge comment
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,181
Likes
8,933
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,181 8,933 280
Huyu sio ukoo wa Prophet Muhammad ni shetan mkubwa kutoka Al-Saudi family
De facto official name of MBS is THE CUSTODIAN OF THE TWO HOLY MOSQUES; hiyo ndio chapa na title yake rasmi. Yaani ndiye mwangangilizi na mtunzaji rasmi wa misikiti mitukufu ya Makkah na Madina ambamo pia kaburi la Mtume limo humo. Sio mtu mdogo hapa duniani Mkuu.
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,587
Likes
4,762
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,587 4,762 280
Kwa hiyo hiyo ripoti ya NY Times ndio ushahidi?
Umejiuliza kwanini wapelelezi wa Uturuki jana walikwenda kupeleleza nyumbani kwa balozi mdogo wa Saudia? View attachment 902058
Hiyo picha uliyoiweka ni ushahidi kuwa hao ndio wauuaji walipokuwa wakiondoka Turkey baada ya kumuua huyo mwandishi hapo walipokuwa airport. Sehemu kubwa ya wauuaji hao ni walinzi wa Crown Prince Mohamed Bin Salman
 
C

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
1,344
Likes
666
Points
280
Age
54
C

comte

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
1,344 666 280
Watunza uislam kivipi? Kwamba Saudia ikiyumba Uislam utayumba? Hebu acha porojo wewe
ITEGAMATWI, unakataa nini wakati SAUDIA wakiona mwezi mnawafuata mnafungua huku mkiwaacha BAKWATA na serikali na IDD yao sahihi kwa saa za Afrika Mashariki
 
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Messages
3,247
Likes
3,013
Points
280
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2016
3,247 3,013 280
Siku moja naongea na Mama mmoja wa Kiarabu, actually ni Mdada tu hivi, ananambia kuna utofauti mkubwa kati ya Mwarabu wa Oman na Saudis, anasema Mwarabu wa Saudia ana roho mbaya, mpaka wao Waarabu wa Oman wanajua Wasaudia wana roho mbaya kuliko.....

Akanambia katika nchi zote za Kiarabu, hakuna Waarabu poa kama wa Oman na Yemeni....Kalas
 
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,241
Likes
12,374
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,241 12,374 280
MBS anakuwa mtihani mwingine kwa washika dunia.

Halafu Pompeo kudai kuwa wanasubiri "SAUD ARABIA" wakamilishe Uchunguzi kwenye hili Sakata.
Case ya Nyani, wanawaachia Ngedere kufanya Uchunguzi?!
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
2,648
Likes
3,296
Points
280
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
2,648 3,296 280
kiburi anapata kwa US tu...
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
2,648
Likes
3,296
Points
280
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
2,648 3,296 280
Ndio ulivyofundishwa kanisani kwenu?
Wamehodhi madaraka..
na wanafanya ushenzi mkubwa ...
Al saud.. .ndio mwanzo wa virugiko kubwa huko ghuba..... ...anatumiwa pia sana na wana magharibi!
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
2,851
Likes
2,048
Points
280
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
2,851 2,048 280
Hao hao marafiki wanafiki marekani watamkataa siku moja
 

Forum statistics

Threads 1,237,865
Members 475,739
Posts 29,303,863