Mwanamfalme wa Saudi Arabia ni Saddam Hussein mpya mashariki ya kati

Mwanzoni aliitwa Mwanamageuzi na wamagharibi mpaka akaruhusu wanawake waendeshe magari na vivyo hivyo akiwa Mfalme tutegemee mageuzi zaidi ndani ya Saudia na eneo lote la ghuba.
Karuhusu ujenzi wa makanisa kule kumamae
 
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?
Asante kwa kuwaelewesha maana wanajifanya wanafiki kutokuelewa nilichokimaanisha.
 
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?


Rudia comment yako wewe acha porojo, umesema kutunza Uislam na mambo yake yote, unajua maana ya ulichokiandika hasa hapo kwenye bold?

Punguza mihemko, ungekuwa umeandika ulichokisema hapo juu wala nisinge comment
 
Huyu sio ukoo wa Prophet Muhammad ni shetan mkubwa kutoka Al-Saudi family
De facto official name of MBS is THE CUSTODIAN OF THE TWO HOLY MOSQUES; hiyo ndio chapa na title yake rasmi. Yaani ndiye mwangangilizi na mtunzaji rasmi wa misikiti mitukufu ya Makkah na Madina ambamo pia kaburi la Mtume limo humo. Sio mtu mdogo hapa duniani Mkuu.
 
Kwa hiyo hiyo ripoti ya NY Times ndio ushahidi?
Umejiuliza kwanini wapelelezi wa Uturuki jana walikwenda kupeleleza nyumbani kwa balozi mdogo wa Saudia?View attachment 902058
Hiyo picha uliyoiweka ni ushahidi kuwa hao ndio wauuaji walipokuwa wakiondoka Turkey baada ya kumuua huyo mwandishi hapo walipokuwa airport. Sehemu kubwa ya wauuaji hao ni walinzi wa Crown Prince Mohamed Bin Salman
 
Watunza uislam kivipi? Kwamba Saudia ikiyumba Uislam utayumba? Hebu acha porojo wewe
ITEGAMATWI, unakataa nini wakati SAUDIA wakiona mwezi mnawafuata mnafungua huku mkiwaacha BAKWATA na serikali na IDD yao sahihi kwa saa za Afrika Mashariki
 
Siku moja naongea na Mama mmoja wa Kiarabu, actually ni Mdada tu hivi, ananambia kuna utofauti mkubwa kati ya Mwarabu wa Oman na Saudis, anasema Mwarabu wa Saudia ana roho mbaya, mpaka wao Waarabu wa Oman wanajua Wasaudia wana roho mbaya kuliko.....

Akanambia katika nchi zote za Kiarabu, hakuna Waarabu poa kama wa Oman na Yemeni....Kalas
 
MBS anakuwa mtihani mwingine kwa washika dunia.

Halafu Pompeo kudai kuwa wanasubiri "SAUD ARABIA" wakamilishe Uchunguzi kwenye hili Sakata.
Case ya Nyani, wanawaachia Ngedere kufanya Uchunguzi?!
 
Back
Top Bottom