Hamas wamevuruga hesabu zote mashariki ya kati, Israel na West inabidi kujipanga upya

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,350
Hamas wametoboa mtumbiwi wa mabadiliko na kufunguliwa kwa mashariki ya kati. Mahusiano ambayo yalikuwa yameimarika na kufikia kukomaa kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu kama Saudi Arabia sasa yametumbukia nyongo.

Mataifa ya mashariki ya kati ambayo yalikuwa yanaenda kwa kasi kukumbatia mahusiano imara zaidi na mabadiliko ya j
kimagharibi sasa watapunguza spidi na kuwa na kisirani wakiamini ndugu zao wanadhulimiwa vibaya sana na marafiki zao ambao siku zote wamejisema na kujitambulisha kama waliostaarabika zaidi.

Utawala wa Biden na Netanyahu haziivi sana kwa sababu japo hawakubaliani kabisa na kile walichokifanya Hamas bado wanamuona Netanyahu kama mtu aliyechanganyikwa asiyejua anafanya nini au anaelekea wapi. Wao wenyewe wana somo zuri jinsi walivyochanganyikwa baada ya September 11 na kufanya mambo mengine hovyo kwa kuwehuka na papara.

Upande mwingine wanamgambo magaidi kama Houthi wa Yemen na huko Syria wakichagizwa na Iran wamepata moto na wanachezea sharubu za Simba.
Hali si hali.
 
Yoda ukiona hilo inapendeza sana na umetia akili
 
Akikaza sana ataumia yeye,waarabu wanaonekana kumpigisha kwata Kwa muda mrefu waione jeuri yake.

Huu mgogoro ukiendelea Kuna Kila dalili USA kumwachia zigo lake.
Huu mwaka mtasema yote sisi hatusikii la nini ni kipigo tu tushaua 27000 mpaka sasa tutaona nani atatema mzigo make wenzenu sikuizi wanalala mabwani neta hacheki na zombi lolote la mudi
 
We ndio zombi.
Tena zombi lisilojielewa.
Unataka kusema viongozi wa Spain na Belgium umewazidi akili?
Wao wamepingana na Israel kuhusu mzozo wa Palestina we unashadadia kama mwehu.
Na unavyoonesha kuwa Zombi wa kiwango cha juu unaleta udini kwenye mzozo wa kidiplomasia.
Mpaka wakristo wanauawa hapo Gaza we unaleta udini.
Tanzania kuna mafala wengi sana.
 
Mlokole huyo
 
Hamas pigeni kazi
Ingawaje uhuru wa Palestine unaandamana na gharama kubwa sana sana sanaa
Ila baada ya huu uhuru wapalestine wataishi kwa amani kuliko muda wowote ule yaani
Maana magaidi wa israhell watawaogopa kama ama zaidi ya kifo
 
We ndio zombi.
Tena zombi lisilojielewa.
Unataka kusema viongozi wa Spain na Belgium umewazidi akili?
Wao wamepingana na Israel kuhusu mzozo wa Palestina we unashadadia kama mwehu.
Na unavyoonesha kuwa Zombi wa kiwango cha juu unaleta udini kwenye mzozo wa kidiplomasia.
Mpaka wakristo wanauawa hapo Gaza we unaleta udini.
Tanzania kuna mafala wengi sana.
Mtapigwa tu maana hakuna namna , wabelgiji na waspain kwani ndio waliuawa octoba7 . Yani unawaua wakina mollel afu tuwachekee kule njugu inabidi zimwagwe tuone nani atasalenda. Mazombi ya mudi yamemaliza wakristo wote palestina we unapiga fix
 
Waume zake Wana haha huku na kule kuishawishi Hamas kukubali mkataba,toka mkuu wa CIA,Cameron,France mpaka blinken...Kuna France acord huko, netanyahu ulimi nje
Kazi pale nikuua mazombi ya mudi kwanzia vitoto vyao mama zao na migaidi yenyewe hayo ya kuhaha hatunaishu nayo sisi. Migaidi 28000 mpaka sasa na familia zao imeangamia. Netanyahu kaza usilegeze ilusicheke na kima
 
Mtapigwa tu maana hakuna namna , wabelgiji na waspain kwani ndio waliuawa octoba7 . Yani unawaua wakina mollel afu tuwachekee kule njugu inabidi zimwagwe tuone nani atasalenda. Mazombi ya mudi yamemaliza wakristo wote palestina we unapiga fix
We wa kupuuzwa huna akili.
We una akili kuliko wabunge wa Spain?
Na huyo Mollel alikufa kwa tukio la shambulio la anga la ndege vita ya IDF.
Nimemaliza mjadala sijadiliani na vijana wa balehe.
 
Back
Top Bottom