babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,841
- 6,546
Ndio ulivyofundishwa kanisani kwenu?Ukubali ukatae hao ndio watunza uilsam na mambo yake yote,huu ni ukweli mchungu.
Ndio ulivyofundishwa kanisani kwenu?Ukubali ukatae hao ndio watunza uilsam na mambo yake yote,huu ni ukweli mchungu.
Karuhusu ujenzi wa makanisa kule kumamaeMwanzoni aliitwa Mwanamageuzi na wamagharibi mpaka akaruhusu wanawake waendeshe magari na vivyo hivyo akiwa Mfalme tutegemee mageuzi zaidi ndani ya Saudia na eneo lote la ghuba.
NdioNdio ulivyofundishwa kanisani kwenu?
Ndio utu na ujirani mwema huo Sheikh wangu,Mwakani ataruhusu gambe.Karuhusu ujenzi wa makanisa kule kumamae
Mfalme wa Saud Arabia huitwa "The Custodian of the two holy mosques" ukitafsiri Kiswahili ni "Mlinzi wa Misikiti miwili Mitakatifu (Mecca na Madina)".Ukubali ukatae hao ndio watunza uilsam na mambo yake yote,huu ni ukweli mchungu.
Ukubali ukatae hao ndio watunza uilsam na mambo yake yote,huu ni ukweli mchungu.
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?Watunza uislam kivipi? Kwamba Saudia ikiyumba Uislam utayumba? Hebu acha porojo wewe
Asante kwa kuwaelewesha maana wanajifanya wanafiki kutokuelewa nilichokimaanisha.Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?
Anamaanisha Wanalinda misikiti miwili mitakatifu kwa waislamu (Mecca na Madina) huko si kutunza Uislamu? Bado kuhudumia mamilioni ya mahujaji kwa ukarimu kila mwaka wakati wa "hijja" je huko si kutunza Uislamu?
De facto official name of MBS is THE CUSTODIAN OF THE TWO HOLY MOSQUES; hiyo ndio chapa na title yake rasmi. Yaani ndiye mwangangilizi na mtunzaji rasmi wa misikiti mitukufu ya Makkah na Madina ambamo pia kaburi la Mtume limo humo. Sio mtu mdogo hapa duniani Mkuu.Huyu sio ukoo wa Prophet Muhammad ni shetan mkubwa kutoka Al-Saudi family
Hiyo picha uliyoiweka ni ushahidi kuwa hao ndio wauuaji walipokuwa wakiondoka Turkey baada ya kumuua huyo mwandishi hapo walipokuwa airport. Sehemu kubwa ya wauuaji hao ni walinzi wa Crown Prince Mohamed Bin SalmanKwa hiyo hiyo ripoti ya NY Times ndio ushahidi?
Umejiuliza kwanini wapelelezi wa Uturuki jana walikwenda kupeleleza nyumbani kwa balozi mdogo wa Saudia?View attachment 902058
ITEGAMATWI, unakataa nini wakati SAUDIA wakiona mwezi mnawafuata mnafungua huku mkiwaacha BAKWATA na serikali na IDD yao sahihi kwa saa za Afrika MasharikiWatunza uislam kivipi? Kwamba Saudia ikiyumba Uislam utayumba? Hebu acha porojo wewe
Msala upo Tanzania ndugu, na siyo huko kwa hao waarabu ndugu
Wamehodhi madaraka..Ndio ulivyofundishwa kanisani kwenu?
One day watamkataakiburi anapata kwa US tu...